Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbatizaji, umekuwa mpole unaitikia tu, piga ulanzi kidogo, mzuka wa ubishi upande bwasheeHaya!
🤩Mbatizaji, umekuwa mpole unaitikia tu, piga ulanzi kidogo, mzuka wa ubishi upande bwashee
Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
Binafsi naona hilo katazo ndio litasababisha vitabu hivyo kusomwa zaidi ili kujua nini tatizo lililosababisha vizuiwe.
Wangepita kwenye taasisi husika kutoa katazo kimykimya na kuwaelimisha sababu za katazo.
Upo sahihi ila una unafik mwingi san plus ukuda!!Tunakumbushana Sana mtasikia matetemeko Ndio hayo ya Syria na Uturuki
Vita Ndio hizo Russia, Ukraine, Congo na sasa USA anatunishiana misuli na China
Manabii wa Uwongo Ndio hao wamejazana kila kona
Upendo utapoa Ndio unaona kila mwanasiasa anaiba na wengine wanamuonea wivu Babu Tale na udaktari wake
Atakayevumilia hadi MWISHO ndiye atakayeokoka
Prof Mkenda kazana kuwalinda Watoto ijapokuwa Dunia inakwenda kasi Sana na Muda hautusubiri
Mungu wa mbinguni akutie Nguvu ya ziada Adolf
Hao ndio Watanzania.Maskini Tanzania yangu,
Kwa hiyo ulivyokisoma uliona kuna Ushoga au umesoma jina ukalinganisha na hiyo orodha ya Wizara basi..... hivi kwanini Watanzania hua hatupendi kutafuta taarifa sahihi badala yake tunaamini kile tulichoaminishwa!?
na elimi basHivyo vitambu vitakuwa
IST
ISM
HOPAC
St C
DIA
Nimejaribu google ila sijaona sehemu kama kina maudhui tajwa.
Kama kuna mzazi ana ushahidi aweke hapa tuone, sio wa karatasi moja bali achukue video
Mimi nimemwelewa tofauti,kaamua kukupa uwanja uongee yote utakayo bila kukubugudhi,hata kama hakubaliani na wewe.Ndiyo maana anaishia kukwambia neno moja tu 'haya' pamoja na wewe kumwandikia maelezo mengi.Alikuja na habari za watu wa vijiwe vya gahawa ndo maana kaelewa mapema. Nami nimpongeze kwa hilo, asiwatie watu hofu kwa kutumia maandiko ambayo yeye mwenyewe hajayaelewa..
Mbatizaji hataki shida na mtu,jamaa kamjia kwa speed 100 kampisha apite [emoji3]Mbatizaji, umekuwa mpole unaitikia tu, piga ulanzi kidogo, mzuka wa ubishi upande bwashee
Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
Hizo zingine sasa unazojaribu kujitetea nazo hapa, ni matamshi yanayotokana na traits za indivudual personalities za watu na siyo Serikali. Kwani tuseme kwa mfano kiongozi wa Serikali akiamua kukunyang'anya mke wako wewe, utasema kuwa Serikali imekunyang'anya mke wako?Serikali wameshanijibu.
Wametoa taarifa yenye kifungu cha sheria.
Wamejifunza, siku nyingine watazingatia kwenye marufuku zao kutaja sheria, ziwe marufuku za ugei, mikutano, marufuku kukejeli suti inayompwaya Rais, watu wa mikoani marufuku kuingia D'Salaam, marufuku kufanya jogging na t shirt za Katiba Mpya, marufuku kumsalia kwa Mungu mwanasiasa anaekaribia kukata pumzi kwa kutwangwa risasi...
Yote haya wakitoa tamko watajua kuna wananchi - hata tukiwa wawili nchi nzima - tutadai sheria.
Nikiona DeepPond anatoa madini sehemu ujue kuna vitu adimu ngoja na mm nizame hapa huenda nikapata kituNi hatari Sana wakuu,
Taifa linateketea kizembe sana
Sawa brother unaendeshwa na dunia isiyo nyoro nyoro, tokea asubuhi hadi sasa umekula Atoms ngapi? Electron ngapi? Umekula Archemedes Principle ngapi? Zinauzwa wapi? Umeshiba?Dunia haieendeshwi na topics nyoronyoro kama ulizotaja hapo. Hizo ni fantacy
Wewe pitia uone kama kina hayo maudhuiMsiwe na ujuaji sana Mazee.
Wizara haiwez kukulupuka kupiga marufuku kitu Kwa Hisia tu.
Hapo wamepitia vitabu vyote kupitia tume iloundwa na Wizara na wakajiridhisha
Mbona haioneshi title kuwa ni hicho kitabu?Kama unajua kiingereza translate haya maneno unieleza kama ni mazuri kwa watoto wako. View attachment 2517046