cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Kwani wao serikali hawajui au hawaoni? Wanaanzaje sasa kuwawinda? Msaada na mkopo unadhani inakuj bureee??Bado shida ipo kubwa. Serikali ina uwezo wa kufanya chochote ikiamua.
Mashoga wanajulikana hivi serikali ikiweka adhabu ya yeyote anaejitangaza mahusiani ya jinsia moja miaka 30 kifungo hili swala si lina weza kupungua sana?
Serikali ona mitandaoni mtu anajitangaza yeye ana mahusiano ya jinsia moja na hamsemi chochote?
Sawa hivo vitabu tunawashukuru kuzuia lakini hamjagusa sehemu ambayo ndo kichochezi cha upuuzi.
Mashoga na wasagaji washughulikiwe kwa vitendo sio kuweka tu sheria ambayo haina vitendo. Mtu akifungua acount kwenye social media ifungwe lakini pia wamiliki wa mtandao huo wapewe utaratibu kwamba mtu akiruhusiwa na mtandao wenu kufungua acount ya kuhamasisha upuuzi huo mtandao tunaufungia Tz.
Hivi hii haiwezekani? Tatizo hii nchi tegemezi sana. Ila mimi nadhani serikali ina uwezo wa kuwinda hawa wapuuzi na ikafanikiwa.
Mfano mzuri juzi kombe la dunia mbona waliweza kuzuia mashoga kuingia? Serikali mjitahidi nyinyi mna nguvu. Kizazi cha mashoga kina kuwa kwa kasi jamani eti nao wanafanyaga sherehe zao huko si ndo pa kuwawinda na kuwasweka ndani?
Subirini kuambiwa ushoga ni ruksa kila mtu a deal na kizazi chake, ndo mtajua hamjui.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]