Serikali yasaini mkataba wa Bilioni 30 kukarabati Uwanja wa Benjamin Mkapa

ALoooooooooo.
wizara ya upigaji ipo kazini.
 
Alooooooooo .
natamani niwepo katika wizara hiyo ya upigaji ila ndio hivyo tena.
muhimu tuwasomeshe watoto wetu elimu ya maana.
 
Yaani nusu ya bajeti ya kwanza bado ni ukarabati tu?
 
Daaah ccm kwa upigaji ni namba moko,yani babu,bibi,baba mama,watoto wajukuu,vitikuu wote wezi
 
si wajenge tu mpya? hela yote hiyo wanakarabati nini kwenye nchi masikini hii? au labda, hela inatoka wapi? kama inatokana na viingilio (TFF) hapo sawa, ila isitoke kwenye kodi zetu aisee. naomba MUngu hela nyingine isijekuwa imeongezwa kwa ajili ya kampeni na uchaguzi mwaka kesho na keshokutwa.
 
Uwanja uliojengwa kwa 60bil unakarabatiwa kwa 31bil (52%).

Hata kama muda umepita na vifaa vya ujenzi vimepanda bei ila 31bil ni nyingi sana kwenye ukarabati tu. Hizo hela zingeweza kuweka viti na majukwaa uwanja wa pili (Uhuru Stadium) au hata kuanzisha uwanja mwingine mdogo hata Kigamboni labda.

31bik ni unang'oa viti na majukwaa yote urudishie vingine au? Ukute hata hii sio bajeti halisi bali watu wameweka "cha juu" as usual.
 
Nilijua hilo mapema kbs baada ya kupata hbr ya ukarabati!! CCM mbele kwa mbeleee 🎶🎶🎶
 
Hela yoyote ya serikali kama sio msaada basi ni kodi tu either direct or indirectly
 
Hela yoyote ya serikali kama sio msaada basi ni kodi tu either direct or indirectly
hiyo ni hela ya uchaguzi hiyo, si ukute ukarabati ukatumia bilioni moja au mbili tu, zilizobaki zote kwenye kapu la kampeni. kwani hatuwajui sisiemu?
 
hiyo ni hela ya uchaguzi hiyo, si ukute ukarabati ukatumia bilioni moja au mbili tu, zilizobaki zote kwenye kapu la kampeni. kwani hatuwajui sisiemu?
Ukute aisee.
Upigaji as usual
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…