Serikali yasaini mkataba wa Bilioni 30 kukarabati Uwanja wa Benjamin Mkapa

Subirini mpewe details za huo ukarabati acheni kuongea ongea kama watu mliopagawa
 
Kwanza huu uwanja uko chini ya Wizara gani? Manaa hii gharama ya ukarabati ni kubwa kuliko Bajeti ya Wizara ya michezo
 
badala ya kujenga viwanja vingine wanafikiria upigaji tu
 
Sasa una Miaka zaidi ya 15 so hakuna Cha kushangaza hapo sema Ili kupunguza over utilization tuanze kujenga viwanja vingine
 
CCM wanatengeneza hela ya uchaguzi mkuu 2025
Acheni upuuzi wenu nyie
 
Uwanja unafanyiwa renovations Kwa hiyo wako sawa kabisa
 
Wafanye yote Ila wasisahau tu kuweka bana za video humo pembeni😁
Japo vyoo ni changamoto Ila Kwa kuwa mm siwezi kunisaidia tofauti na Nyumbani kwangu au kazini kwangu Wala Haina shida😃
 
Hiyo hela ni nyingi sana kwa ukarabati... Daah
Hapo unajenga uwanja mpya wa seat capacity 30,000 ..

Hivi watanzania sijui hatujui makadirio ya ujenzi.. au ni nini kimetukumba?

Yaani ukarabati wa billion 5 (maximum) tunaambiwa billioni 31..?

Kweli.. hii hatari
 
Usiwe mjinga weww nyumba uliyojenga kwa milioni 20 unaweza kuamua kuikarabati kwa shilingi milioni 50 kipi ambacho huelewi hapo au una akili ndogo? Wewee unajua kitakachowekwa hapo uwanjani baada ya hayo marekebisho?
 
Sasa una Miaka zaidi ya 15 so hakuna Cha kushangaza hapo sema Ili kupunguza over utilization tuanze kujenga viwanja vingine
Hivi ulishawahi kufika kwenye huu uwanja na unailewa vizuri 31Bil? Ngoja tuone watabadili nini
 
Usiwe mjinga weww nyumba uliyojenga kwa milioni 20 unaweza kuamua kuikarabati kwa shilingi milioni 50 kipi ambacho huelewi hapo au una akili ndogo? Wewee unajua kitakachowekwa hapo uwanjani baada ya hayo marekebisho?
We mbweha... kahaba... usije kufanya nikala ban..
Pumbavu kabisa... Wahed

Ukarabati wa kubadili viti na pitch useme hela zote hizo...

Huna tofauti na Prof Mruma
Uko kwenye mgao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…