Nazi Nakaranga
Member
- Oct 12, 2019
- 28
- 15
usikate tamaa mkuu hata hao wakurugenzi wangezuiwa hakuna jipya kwa cdm 2020.Mahakama hizi za Ccm wala haziko fair kwa wapinzani
Kapigeni kura zenu sasahivi wala msihangaike kuiba kuraMaamuzi mazuri haya
Huwezi ukampa kazi ya kusimamia Uchaguzi mtu temporary nu hatari kwa usalama wa nchi
Hautapiga ww na familia yako,usiwasemee wengineHapo ndio rasmi hatutapiga kura bali itabidi tutafute njia mbadala ya kupata viongozi nje ya box la kura. Mahakama imeshindwa wajibu wake, hivyo umma utatumia nguvu yake kuhakikisha haki yake haipotei.
Hautapiga ww na familia yako,usiwasemee wengine
Kura zenu hazina effect kwa taifaNdio mimi na familia yangu, kwakuwa ni zaidi ya mmoja ndio maana nimeweka wingi.
Niliwahi kusema Mbowe ni Sehemu ya CCM tangu utoto.Hatupingi mipango ya Mungu wala kuikosoa. Lakini tunaweza kumuuliza Mungu kwa nini kizazi cha kina Kapt Hatty Macghee, Lt. Eugene Maganga, Kapt.Komando, Kapt Hanspoppe, nk nk hakukiacha na kukileta wakati huu? Kama wale waliweza kukaa na kuhoji falsafa za Mwalimu ambazo alikuwa amekwisha jijengea jina kubwa sio TZ na Afrika tuu, bali duniani kote jee wangeshindwa sasa kuhoji na kuchukua hatua?
Utawala huu wa sasa hauwezi kutolewa kwa kutumia mbinu za kizazi cha kina Mbowe, Zitto, Mbatia,Heche, Chakaza, Retired, Salary Slip nk maana kwao masikio yametoboka haya maneno matupu yanaingia huku na kutokea huku. Bali kizazi kile hawakuwa wanaandaa maneno matupu bali na viboko ukiwa sugu kusikia.
Ndio maana watu hatuendi kujiandikisha
Daaaah nimecheka sana hahahahaaahaaahaHahahahahahahahahhaah wanakana uanachama[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Kosa lililofanywa na waliofungua hii kesi na mawakili wao, walifungua kwa lengo la kupambana na CCM na si mfumo. Hata waliposhinda kesi Mahakama Kuu walishangilia kwa kuishinda CCM.
Wangelenga ktk mfumo kungekuwa na kujenga hoja ya kuwapo uwezekano wa kuwapata wasimamizi wa uchaguzi wasio wanachama wala wapenzi wa vyama katika mfumo huu wa vyama vingi.
Walisahau kuwa kiapo ni utaratibu unaowezesha muapaji kuwajibika kwa makosa aliyofanya kwa kutozingatia kiapo. Kuna wabunge, mawaziri, madiwani, wenyeviti wa serikali za mitaa toka upinzani hawatiliwi mashaka kufanya kazi chini ya serikali ya chama kilichopo madarakani sababu wameapishwa kabla ya kuanza kazi na kuenenda kinyume chake ni uhaini.
Lakini pia walijikita zaidi na mistari ya katiba wakiacha SHERIA na KANUNI nyingine za Uchaguzi zinazoelekeza nini kifanyike ktk utendaji wa tume ya uchaguzi.
Hv huwaga mnajitoa ufahamu au hao wabunge unaosema walipelekwa na wakurugenzi uliona lkn mpaka utangazwaji wake ulikuaje ni kwa mbinde mfano shinyanga mbele ya macho yangu marehemu shilembi mgombea wa cdm kaongoza vituo vyote watu wanaenda wanajua yeye ndo anatangazwa mkurugenz kajivutavuta mpaka saa nane usiku akaja kupindua meza hapo hapo kura za majumuisho zote zimehasibiwa na watu wakasaini kabsa mshindi ni jamaa wa cdm ile mkurugenz kutoka nje kushika mike anatangaza akapindua et maselle kashinda kwa kura moja ndo maana hatutaki ma DED wawe wasimamizi na afadhal jk alikuwa mstaarabu kidogo huyu wa sasa jeSafi Sana !kiapo kinakubalika kisheria, haohao wakurugenzi mbona waliwapekeka wapinzani bungeni Sasa hivi iwe nongwa kwa nini! Acheni deko upinzani tafteni agenda zenye maana wananchi wawaelewe zaidi ya hapo chaguzi zote mtakuwa watu wa kulialia kila siku