Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Sasa kama mtu umezaliwa mwaka 2000 utajuaje mabaya ya ukoloni?Sijawahi juta kuikataa CCM na viongozi wake.
Better were colonial days!!
Habari njema sana hii. Nimefarijika sana.
Yaweke hapa tuoneGazeti pekee lililokuwa limebaki kusema madudu ya CCM na serikali yake.
Swa yana Mwisho haya!!
Hqhahah... Yani hata Lisu ni taka tu mbele ya Membe..Hiki kijigazeti kazi yao kumpamba Membe
Huyo dikteta uchwara amebugi step sana. Siku hizi watu hawashughuliki kusoma makaratasi. Mambo yote yako kwenye mtandao ambako hana uwezo wa kufanya lolote bali kuvizia wachache awateke au awaue na mara nyingine kuomba malaika wafunge mitandao.Hili gazeti lilijaa habari za uwongo na uzushi
Hili gazeti lilijaa habari za uwongo na uzushi