Serikali yasitisha leseni ya kuchapisha na kusambaza Gazeti la Tanzania Daima kuanzia Juni 24, 2020

Magazeti ya akina Hassan Ngenze wa Rwanda ndo haya.
 
The Citizen na Mwananchi ndio wanatakiwa kuyaangalia vizuri hata kwa figisu...
 
Hassa Abbas amejaa mambo ya kipuuzi kweli kweli. Magazeti ya Musiba yanayoandika uongo hayaoni. Kisa Tanzania daima limeandika habari za Membe ndiyo iwe nongwa. Mpuuzi huyu!
 
Hassa Abbas amejaa mambo ya kipuuzi kweli kweli. Magazeti ya Musiba yanayoandika uongo hayaoni. Kisa Tanzania daima limeandika habari za Membe ndiyo iwe nongwa. Mpuuzi huyu!
Hakuna aliyewahi mgusa msemaji wa lumumba akabaki salama anaogopa yakumkuta
 
Sijawahi juta kuikataa CCM na viongozi wake.

Better were colonial days!!
Unafikiri kipindi hicho magazeti yaliyoamsha ari ya kupigania uhuru hayakufungiwa?

Know your history
 
Ingekuwa hatua nzuri sana kama isingebagua baadhi ya magazeti.Magazeti Ya Musiba yanaandika yatakacho lakini hatua hakuna.Sidhani kama ni jambo lenye afya kwa Taifa letu na sielewi ni nini hasa wanaotoa maamuzi haya wanakifikiria.Kuna jambo moja watawala wetu wamekosa kuligundua mpaka sasa labda tuwasaidie kidogo.Baada ya 2015 mwanadada aishie Marekani alitingisha kupitia Instagram,kila njia ikatumika kumnyamazisha na kweli amenyamaza lakini ghafla kaibuka Kigogo huyu ndio anachanganya mno na huyu akitulia inawezekana akatokea mwingine mbaya zaidi.Hebu tujifunze kuvumilia na kama kuna mtu kakwaza na gazeti aende mahakamani wachapishaji wakipigwa fidia ya kutosha watakaa katika mstari bila hata kuonyesha dunia kuwa "wanaonewa"
 

June 23, 2020
PIGO, GAZETI LA TANZANIA DAIMA LAFUTIWA LESENI
Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo idara ya Habari Maelezo imelifungia Gazeti la Tanzania Daima, ambapo kuanzia juni 24, 2020 gazeti hilo halitaruhusiwa kuchapishwa wala kusambazwa popote nchini au nje ya nchi kufuatia uamuzi wa kusitisha leseni uendeshaji na usambazaji wa Gazeti hilo.


Source : Global TV online
 
Huyo dikteta uchwara amebugi step sana. Siku hizi watu hawashughuliki kusoma makaratasi. Mambo yote yako kwenye mtandao ambako hana uwezo wa kufanya lolote bali kuvizia wachache awateke au awaue na mara nyingine kuomba malaika wafunge mitandao.

Sifa kuu ya dikteta uchwara ni uzoefu katika vya kunyonga...
 
Sasa unalalamika nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…