NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Magazeti ya akina Hassan Ngenze wa Rwanda ndo haya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna aliyewahi mgusa msemaji wa lumumba akabaki salama anaogopa yakumkutaHassa Abbas amejaa mambo ya kipuuzi kweli kweli. Magazeti ya Musiba yanayoandika uongo hayaoni. Kisa Tanzania daima limeandika habari za Membe ndiyo iwe nongwa. Mpuuzi huyu!
Unafikiri kipindi hicho magazeti yaliyoamsha ari ya kupigania uhuru hayakufungiwa?Sijawahi juta kuikataa CCM na viongozi wake.
Better were colonial days!!
Hili gazeti lilijaa habari za uwongo na uzushi
.Chadema poleni!
Ingekuwa hatua nzuri sana kama isingebagua baadhi ya magazeti.Magazeti Ya Musiba yanaandika yatakacho lakini hatua hakuna.Sidhani kama ni jambo lenye afya kwa Taifa letu na sielewi ni nini hasa wanaotoa maamuzi haya wanakifikiria.Kuna jambo moja watawala wetu wamekosa kuligundua mpaka sasa labda tuwasaidie kidogo.Baada ya 2015 mwanadada aishie Marekani alitingisha kupitia Instagram,kila njia ikatumika kumnyamazisha na kweli amenyamaza lakini ghafla kaibuka Kigogo huyu ndio anachanganya mno na huyu akitulia inawezekana akatokea mwingine mbaya zaidi.Hebu tujifunze kuvumilia na kama kuna mtu kakwaza na gazeti aende mahakamani wachapishaji wakipigwa fidia ya kutosha watakaa katika mstari bila hata kuonyesha dunia kuwa "wanaonewa"
Ingependeza makosa yao yangesemwa na huyu mtoa waraka. Lakini bado naliona gazeti la tazama mitaani. Mungu yupo.
Kwa hiyo unataka magazeti yanayomsifia yesu wenu tuu sindioHili gazeti lilijaa habari za uwongo na uzushi
......NAKAZIA HAPA..
Kwa hiyo unataka magazeti yanayomsifia yesu wenu tuu sindio
Hili gazeti huru kwanini wanalifungia pia barua haielezi kwa kina angalau kinachoitwa 'uongo' , hii idara ya Maelezo inajigeuza kuwa Wizara ya ' Ukweli'
https://www.nytimes.com › books
The Making of '1984,' George Orwell's Nightmare Vision of a World Without Truth ...
5 Jun 2019 · THE MINISTRY OF TRUTH The Biography of George Orwell's “1984” By Dorian Lynskey. Shortly after the presidential inauguration ...
Huyo dikteta uchwara amebugi step sana. Siku hizi watu hawashughuliki kusoma makaratasi. Mambo yote yako kwenye mtandao ambako hana uwezo wa kufanya lolote bali kuvizia wachache awateke au awaue na mara nyingine kuomba malaika wafunge mitandao.
Nyerere peke yake ndio rais aliyefaidi kuongoza taifa la makondoo, na watu wote kulishwa habari azitakazo kupitia vyombo vya habari. Kwa hii dunia ya technologia, watu wote waelewa hupata taarafi za kweli kupitia mitandaoni. Hivyo kufungia magazeti yasiyomnyenyekea dictator yoyote, wala sio tatizo kubwa kihivyo.
Woga wa uchaguzi. Bado tutaona viroja vingi kadri uchaguzi unavyokaribia!This is unacceptable
Sasa kwanini yaani wavunje sheria kilauchao waachwe au ulikuwa na chuki tu fafanua kidogo maana sisi si kambale.Sijawahi juta kuikataa CCM na viongozi wake.
Better were colonial days!!