Laigwanan76
JF-Expert Member
- Nov 21, 2010
- 551
- 153
Swala la Bandari ya
Tanga mpaka wana Nchi walisha lipwa mwaka 2013 ktkt wahame kupisha upanuzi wa Bandari Tanga,ambayo itakua Bandari kubwa na yakisasa kabisa. Hii Bandari ya Bagamoyo kuna ubinafsi humo ndani take it from me,mwambani Tanga ni eneo pana sana linatosha kabisa kua na Bandari ya ukweli kabisa.
Hapa sawa. Na aliyetoa amri ya kujengwa bandari hiyo ashitakiwe kwa matumizi mabaya ya ofisi na ubadhirifu wa mali ya umma. fedha nyingi sana ya walipa kodi imeshapotea kwenye ujinga huo.
Naanza kuona sababu za wageni wanafiki kutokukauka kwa Magufuli.
Mradi haukuwa na tija
Habar
Habari ina ukweli kabisa, soma The Citizen, huwa gazeti hili hawaongei mambo ya mitaani.
Serikali Awamu ya Nne inaelekea ilitumia vigezo visivyoeleweka vyema katika sekta nzima ya usafirishaji, hususan bandari.
Bagamoyo haina hata reli ya kuunga bandarini, jipu hilo!
Kujengwa banadari mpya na ya kisasa kupisha bandari ya dar ambayo haina nafasi ni uharibifu?
Hakika shule mlienda kusomea ujinga.
Poleni sana. Kutumbuliwa majipu kuko kwa aina tofauti tofauti. Kama mna majipu mengine ya aina hii yatapasuliwa moja baada ya jingine. Jiandaeni tu. Maumivu bila shaka ni makali. Na kwa Ushauri tu ile barabara inayoelekea Msoga mjitahidi kuitunza kwa maono yangu ikiharibika haitakarabatiwa kwa vile haifaidishi wengi.Tunatakiwa kujenga bandari ya kisasa sio kuboresha wala kukarabati, tunatakiwa tuweke misingi ya maendeleo na plan za muda mrefu zaidi ya miaka 100, siio kila ya baada ya miaka 10 tunakarabati , tuamue moja, sio kuachana na bandari ya bagamoyo eti tunakwenda kukarabati mtwara na tanga, kwa hiyo magufuli aseme bandari ya bagamoyo kuhamishiwa tanga au mtwara na ujenzi wake kuanza ifikapo june. Tunakarabati nini, mabanda ya dar, mtwara na tanga na kuziita bandari?, tunakataa bagamoyo port , bandari ya kisasa tunakibmilia kukarabati?
The Construction of the 10 billion (about Sh22 trillion) Bagamoyo Port has been suspended, The Citizen has learnt. The government wants to focus instead, on improving the capacity, performance and efficiency of the Mtwara and Dar es Salaam ports.
The Minister for Works, Transport and Communications, Prof. Makame Mbarawa, confirmed yesterday that the construction of what would be the largest port in Africa has been suspended, not shelved to pave way for upgrading berths 13 and 14 as well as developing the Mtwara Port depending on the availability of Funds. The activities would take years to complete, the minister said because the process has to start from finding funding.
Hii yote inatokana na mtu mmoja kutopenda kusugua kichwa chake kwa faida ya watu wake badala yake anawaamini zaidi wapiga deal ndiyo waamue kila jambo kwa manufaa yao binafsi, ni dhahiri kuna mambo mengi sana yanatakiwa kuwa reviewed, na pia matokeo yake yawekwe wazi ili wananchi wote wajue mbinu chafu zinazotumiwa na watu wasio waadilifu katika kulihujumu taifa lao, vinginevyo watanzania na vizazi vyao watakuja umia sana mbele ya safari
Lowassa aliyasema haya mkasema "anajinyea", kumbe wapo waliokuwa wanajinyea kifikra!