Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Mbona umewapiga za uso watani zangu?Allen unategemea jambo kutoka kwa watu wa bagamoyo??
Hujui kwanini wazungu wengi walikuwa wanawaua wazaramo kwasababu walikuwa hawana akili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona umewapiga za uso watani zangu?Allen unategemea jambo kutoka kwa watu wa bagamoyo??
Hujui kwanini wazungu wengi walikuwa wanawaua wazaramo kwasababu walikuwa hawana akili
Mtwara reli imeshaanza kutandikwa kuanzia kule Mbambabay na watu washapewa NOTICE... Safari hii hatutaki upuuzi wa yule lofa wa Msoga... Ni kazi tu
Mbona umewapiga za uso watani zangu?
Kuna wimbo wao walikuwa wanaimba kwenye Gombe sugu ulikuwa unanichekesha sana. "Jogolo dyangu wadiba miye, eeeh wadiba miye, mwanangu lelo kodilla kisamvu" eti wamemwibia Jogoo lake kwa hiyo mwanae atakula chakula kwa mboga ya kisamvu. Sasa nikajiuliza huyu mzaramo anataka kusema kwake kila siku wanakula kuku? wana mbwembwe hawa waluguru walioselelea Pwani!!Pole yao lakini ndo ukweli
Wanapenda ngoma na wavivu dawa yao Donald Trump
Kuna wimbo wao walikuwa wanaimba kwenye Gombe sugu ulikuwa unanichekesha sana. "Jogolo dyangu wadiba miye, eeeh wadiba miye, mwanangu lelo kodilla kisamvu" eti wamemwibia Jogoo lake kwa hiyo mwanae atakula chakula kwa mboga ya kisamvu. Sasa nikajiuliza huyu mzaramo anataka kusema kwake kila siku wanakula kuku? wana mbwembwe hawa waluguru walioselelea Pwani!!
Acha maneno, mbona una comment kwa jazba? Umeusoma huo mkataba wa kujenga bandari ya Bagamoyo ufikie ku comment rationally kwamba ni influence ya ukabila? What if huo mkataba hauna maslahi kwa taifa? plus kujenga bandari ya kisasa Tanga ni bora zaidi na itasaidia ku diversity uchumi sio kila kitu kinalundikwa sehemu moja ya nchi..kwanza Tanga ina kina kirefu n eneo kubwa, mradi uhamishiwe huko. .kuhusu daraja la busisi kujengwa its more economical cz lina link na nchi kibao za jirani kama Uganda, Congo , Rwanda, Burundi. Pia Kanda ya ziwa deserves that cz inachangia pato kubwa kwenye GDP..what portion does bagamoyo contribute? Remind me.
The Construction of the 10 billion (about Sh22 trillion) Bagamoyo Port has been suspended, The Citizen has learnt. The government wants to focus instead, on improving the capacity, performance and efficiency of the Mtwara and Dar es Salaam ports.
The Minister for Works, Transport and Communications, Prof. Makame Mbarawa, confirmed yesterday that the construction of what would be the largest port in Africa has been suspended, not shelved to pave way for upgrading berths 13 and 14 as well as developing the Mtwara Port depending on the availability of Funds. The activities would take years to complete, the minister said because the process has to start from finding funding.
Source: THE CITIZEN
View attachment 315504
Hii ni habari nzuri sana mwaka huu ambayo nimeisoma. 22 trillion? Kujenga bandari mpya ambayo ingeendeshwa na wachina kwa miaka 50 kujilipa deni lao! Halafu kuna jinga moja linasupport huu mradi kisa?Kama itakuwa habari hizi ni za Uhakika, basi nitaamini kuwa sasa Tanzania tumepata Rais bora na siyo BORA Rais kama aliyepita.
Na hatua stahiki kwa wakati muafakaHapo wawekezaji walioingia mikataba watakula fedha ya bure kama hii habari ni ya ukweli.
Hilo la Tanga hata mimi nina mashaka nalo; tena few weeks ago nilikuwa na mpango wa kwenda kuonana na Afisa mmoja wa TPA ili anipe darsa kuhusu bandari ya Bagamoyo na Tanga lakini kabla sijafanya hivyo likamkumba fagio la Magufuri sasa nikaona nikienda kumuuliza mambo ya Bagamoyo na Tanga tena hatutaelewana!i agree with you chief.....but Tanga nako tatizo nadhani ni Kina .....hebu tusubiri wenye data watuambie.....lakini na Bagamoyo je kina kinatosha?