Serikali yasitisha Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo. Kuimarisha Bandari za Mtwara, Dar

Serikali yasitisha Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo. Kuimarisha Bandari za Mtwara, Dar

Status
Not open for further replies.
Mtwara reli imeshaanza kutandikwa kuanzia kule Mbambabay na watu washapewa NOTICE... Safari hii hatutaki upuuzi wa yule lofa wa Msoga... Ni kazi tu

Nimecheka sana inaonekana Mkwere amevuruga watu wengi sana na Genge lake
 
Binafsi naunga mkono sana juhudi za JPM katika mambo kadhaa likiwemo na hili.Huwezi kuwa na utitiri wa bandari kwa kuwa kila rais anataka ajenge nyumbani kwake.Bandari ya DSM Ikipanuliwa na kuboreshwa ina uwezo mkubwa wa kuhudumia nchi yetu pamoja na nchi nyingine za jirani.
 
Acha maneno, mbona una comment kwa jazba? Umeusoma huo mkataba wa kujenga bandari ya Bagamoyo ufikie ku comment rationally kwamba ni influence ya ukabila? What if huo mkataba hauna maslahi kwa taifa? plus kujenga bandari ya kisasa Tanga ni bora zaidi na itasaidia ku diversity uchumi sio kila kitu kinalundikwa sehemu moja ya nchi..kwanza Tanga ina kina kirefu n eneo kubwa, mradi uhamishiwe huko. .kuhusu daraja la busisi kujengwa its more economical cz lina link na nchi kibao za jirani kama Uganda, Congo , Rwanda, Burundi. Pia Kanda ya ziwa deserves that cz inachangia pato kubwa kwenye GDP..what portion does bagamoyo contribute? Remind me.
 
Last edited by a moderator:
Pole yao lakini ndo ukweli

Wanapenda ngoma na wavivu dawa yao Donald Trump
Kuna wimbo wao walikuwa wanaimba kwenye Gombe sugu ulikuwa unanichekesha sana. "Jogolo dyangu wadiba miye, eeeh wadiba miye, mwanangu lelo kodilla kisamvu" eti wamemwibia Jogoo lake kwa hiyo mwanae atakula chakula kwa mboga ya kisamvu. Sasa nikajiuliza huyu mzaramo anataka kusema kwake kila siku wanakula kuku? wana mbwembwe hawa waluguru walioselelea Pwani!!
 
Vipi mradi ukihamishiwa Tanga? Kuna eneo kubwa saba pia limetengwa la EPZ kama haujui na bandari ya Tanga tayari ina kina kirefu. .I natakiwa iwepo tu strategic plan ya kujengwa na reli ya kui link bandari ya Tanga na reli ya kati au hadi Musoma. .si lazima bagamoyo.
 
Last edited by a moderator:
Kuna wimbo wao walikuwa wanaimba kwenye Gombe sugu ulikuwa unanichekesha sana. "Jogolo dyangu wadiba miye, eeeh wadiba miye, mwanangu lelo kodilla kisamvu" eti wamemwibia Jogoo lake kwa hiyo mwanae atakula chakula kwa mboga ya kisamvu. Sasa nikajiuliza huyu mzaramo anataka kusema kwake kila siku wanakula kuku? wana mbwembwe hawa waluguru walioselelea Pwani!!


Mhhh hahahahahahahaa

Ukiona wanakula kuku ujue either huyo kuku anaumwa au Mwenye kuku ndo anaumwa ni balaa

Ni shida
 

Attachments

  • 1452245628893.jpg
    1452245628893.jpg
    17.6 KB · Views: 25
Acha maneno, mbona una comment kwa jazba? Umeusoma huo mkataba wa kujenga bandari ya Bagamoyo ufikie ku comment rationally kwamba ni influence ya ukabila? What if huo mkataba hauna maslahi kwa taifa? plus kujenga bandari ya kisasa Tanga ni bora zaidi na itasaidia ku diversity uchumi sio kila kitu kinalundikwa sehemu moja ya nchi..kwanza Tanga ina kina kirefu n eneo kubwa, mradi uhamishiwe huko. .kuhusu daraja la busisi kujengwa its more economical cz lina link na nchi kibao za jirani kama Uganda, Congo , Rwanda, Burundi. Pia Kanda ya ziwa deserves that cz inachangia pato kubwa kwenye GDP..what portion does bagamoyo contribute? Remind me.

kweli mkuu, hapo umenena,,suala sio kujenga tu,,suala ni kuangalia tija pia..sio tu eti kwa sababu bagamoyo hakujajengwa kitu basi tujenge bandari..hizo garama za kuanza kuongeza kina cha bahari kwa ajili ya bandari za nini ili hali tuna tanga na mtwara ambazo zina kina fresh kuliko bagamoyo? sio kila rais anayemaliza muda wake akajijengee bandari kijijini kwao.. hamna tija hapo kuwa na bandari bagamoyo.. mradi upigwe chini fastaaa
 
Kwahiyo kuwa na Largest port in Africa ndio kutatuongezea ufanisi au?? Kwamba kwakuwa tuna bandari kubwa Africa basi mpaka mtu wa Ethiopia na Namibia atakuja kushusha mzigo Bagamoyo?

Imarisha bandari ya Mtwara na Miundombinu yake ulishe Malawi, Zambia na North Mozambique.

Imarisha bandari ya Tanga na miundombinu yake tushindanie soko la Uganda, Sudan na Rwanda na bandari ya Mombasa.
 
Last edited by a moderator:
The Construction of the 10 billion (about Sh22 trillion) Bagamoyo Port has been suspended, The Citizen has learnt. The government wants to focus instead, on improving the capacity, performance and efficiency of the Mtwara and Dar es Salaam ports.

The Minister for Works, Transport and Communications, Prof. Makame Mbarawa, confirmed yesterday that the construction of what would be the largest port in Africa has been suspended, not shelved to pave way for upgrading berths 13 and 14 as well as developing the Mtwara Port depending on the availability of Funds. The activities would take years to complete, the minister said because the process has to start from finding funding.


Source: THE CITIZEN
View attachment 315504

Thanks to CHADEMA / UKAWA
Hili mli liahidi Wakati wa Kampeni.
Jamaa bado wanacheza Ngoma yenu
 
Kama itakuwa habari hizi ni za Uhakika, basi nitaamini kuwa sasa Tanzania tumepata Rais bora na siyo BORA Rais kama aliyepita.
Hii ni habari nzuri sana mwaka huu ambayo nimeisoma. 22 trillion? Kujenga bandari mpya ambayo ingeendeshwa na wachina kwa miaka 50 kujilipa deni lao! Halafu kuna jinga moja linasupport huu mradi kisa?
 
Conflict of interests!!
Una bandari tatu, imarisha hizo na weka miundombinu ya reli. Huna sababu ya kujenga bandari bagamoyo while hata njia za reli hazijaimarishwa.
 
i agree with you chief.....but Tanga nako tatizo nadhani ni Kina .....hebu tusubiri wenye data watuambie.....lakini na Bagamoyo je kina kinatosha?
Hilo la Tanga hata mimi nina mashaka nalo; tena few weeks ago nilikuwa na mpango wa kwenda kuonana na Afisa mmoja wa TPA ili anipe darsa kuhusu bandari ya Bagamoyo na Tanga lakini kabla sijafanya hivyo likamkumba fagio la Magufuri sasa nikaona nikienda kumuuliza mambo ya Bagamoyo na Tanga tena hatutaelewana!

Lakini hata hivyo, nakumbuka iliwahi kuripotiwa mwaka jana kwamba pale Tanga kuna miradi miwili, private project na government project. Hii private project ni multi-billion dollar project chini ya Braza Rugemalila wa VIP Engineering na wenzake! Iliripotiwa project yao ni mara 3 ya ile ya Bagamoyo. Pamoja na hiyo project ya akina Ruge, kulikuwa na Mwambani Port Project kwa usimamizi wa serikali. Lakini Wachina hawakuwa interested na Mwambani coz' wao feasibility yao waliifanya Bagamoyo na wakachagua Bagamoyo.

Sasa hapa watu tunaweza kujidanganya kwamba Magufuri amefanya maamuzi ya busara kumbe washauri wake wamempiga changa la macho ili kuu-favor mradi wa Ruge na wenzake... kama tujuavyo, Ruge nae kwenye pesa ni kama Nyoka wa Makengeza!

Lakini kwa upande mwingine, kwa miradi mikubwa kama hii Magufuri hatakiwi kutoa maamuzi ya haraka haraka namna hii kama ni kweli! Kenyatta mwenzake hivi sasa pressure inapanda, pressure inashuka manake alipoingia tu madarakani, akakimbilia mradi wa reli ya Standard Gauge lakini lengo lake kubwa ilikuwa ni kuipiga bao Tanzania ili aziteke Uganda na Rwanda kwenye biashara ya usafirishaji! Baada ya Coalition of Willing kupelekwa ICU na Rwanda kuungana na Tanzania kutaka kujenga reli ya pamoja huku Uganda wakipeleka concentration zake South Sudan, kilichobaki kwa Kenya ni kufanya fitina za ziada ili kuzirejesha Uganda na Rwanda coz' Standard Gauge inaweza kuwa white elephant project kama itategemea domestic transportation pekee.
 
Kwenye Paragraph ya kwanza unasema Congo hatuiwezi kwa sababu imetekwa na Beira na Cape Town

Kwenye Para ya tatu unasema...Bagamoyo ndiyo itaiweza Congo.....Kwamba tunaweza kwa kupitia Bagamoyo...Naona kama umejichanganya hapa

Naelewa kuna competition kubwa kutoka kwa bandari zingine...lakini its all about how we put ourselves in competitive advantage

It doesn't make sense kuwa na ports mbili....Umbali usiozidi hata 20 kms kati yao....Ilihali utaingia gharama kubwa zaidi ku develop Bagamoyo kuliko Mtwara.

Kuhusu Penetration ya soko...Its all about Market Penetration strategies.....Pia tukumbuke...tunahitaji kuusambaza uchumi wa nchi yetu kuondoa Concentration Dar es salaam....Mikoa ya kusini inabidi tutengeneze hub upande huo pia
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom