RingaRinga
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 1,047
- 521
Hicho ndio kilimpeleka JK ikulu juzi, thanx Magufuli
Kimweri,
Kuhusu possibility ya Magufuli kuja ku-ruin uchumi wetu endapo ataendelea hivi nakubaliana na wewe na kuna mtu nilishawahi kumwambia all you need to agree with everything kwa haya yanayoendelea ni your preferred management style. Kama management style yako ni ile ya kuhakikisha mtu yupo kwenye kiti chake ofisini na hata akienda kunywa maji anaenda kwa kukimbia basi lazima leo hii aone Magufuli anatupeleka nchi ya Ahadi!
Yaani kabisa kuna wengine wanasema eti bandari zote hizo za nini huku akisahau kwamba moja ya sababu ya kwanini Dar inapokea mzigo mdogo kuliko Mombasa ni kwa sababu hata hao walaji na wauzaji wa ku-attract mzigo mkubwa Dar es salaam hawapo!! Yaani watu hawafahamu kwamba ni umasikini wetu ndio unaofanya bandari ya Dar es salaam ionekane inatosha!
Kwa hiyo unataka kusemaje? Rwanda hawana bandari mbona wao wanakimbia?...ktk ushindani wa biashara ya bandari, tutakabiliana vp na bandari za lamu, mombasa, durban, na hata djibout? Hizi bandari zetu zina uwezo wa kuhudumia 3G, na 4G sea vessel, ambazo lamu port inaandaliwa kuziuhudumia? Tutahimili ushindani wa biashara ya bandari unakuwa? Tunatembea wakati wenzetu wanakimbia!
Kuna Mtu anaongelea mambo ya 3G na 4G ambazo bandari za wenzetu zinalenga kuanzisha na hivyo kama nimemuelewa vizuri anasema tutashindwa kuingia katika ushindani na bandari za wenzetu. Swali langu ni Je, bandari za Dar, Tanga na Mtwara haziwezi kuboreshwa na kuingizwa hiyo mifumo ya 3G na 4G? (kama ni mifumo/technolojia anyway). Au hili lingewezekana tu kwa kujenga bandari ya Bagamoyo. Ni maoni yangu kuwa serikali imefanya tathimini ya kutosha juu ya hasara na faida za ujenzi wa bandari mpya kwa sasa kabla ya kufikia hatua iliyochukuliwa ya kusitisha ujenzi huo. Hivyo binafsi napongeza uamuzi uliochukuliwa na serikali wa kusitisha mradi huo.
Wewe hivi umesoma kilicho andikwa? washitakiwe kwa lipi? Unaumwa?Hapa sawa. Na aliyetoa amri ya kujengwa bandari hiyo ashitakiwe kwa matumizi mabaya ya ofisi na ubadhirifu wa mali ya umma. fedha nyingi sana ya walipa kodi imeshapotea kwenye ujinga huo.
Naanza kuona sababu za wageni wanafiki kutokukauka kwa Magufuli.
Well put! Hili wengi ndil o hawapendi kulielewa kwamba msongamano wa Dar Port ni wa kujitakia wa kuifanya bandari ni sehemu ya kuweka makontena na kuua reli ambayo ingeweza kupeleka makontena kwenye Dry Port ya Chalinze ambayo pia ingefanya Chalinze iwe na mambo mengine ya uchumi ya kufanya kuliko kuuza mananasi. Hii ina faida kwa JK pia . Ukifanya hivyo kuna faida 3 muhimu: Ya kwanza ,Kusitisha malori makubwa yanayosomba transit goods kuja jijini Dar na kupunguza msongamano jijini Dar; pili, kutofautisha mizigo ya transit na ile ya Tanzania ambayo ingebaki Bandarini Dar. Kwa kuiteremsha sehemu tofauti kwa hiyo kurahisisha kazi ya TRA. Tatu, pale Chalinze kungetengwa sehemu mahsusi ya kupanga mizigo ya kila nchi: Malawi, Zambia, DRC, Rwanda na Burundi jambo ambalo lingerahisisha utoaji mizigo kwenda kwenye nchi husika.Bandari za Mtwara na Tanga zikiimarishwa itapunguza mzigo kwa bandari ya Dar kwa kiwango kikubwa ....pia plan ya kujenga bandari kavu kubwa sana Chalinze pamoja na reli kutoka Bandarini Dar hadi hapo Bandari kavu Chalinze itaondoa kero ya foleni maana mizigo yote ya mikoani na nchi jirani itapelekwa kwa reli Chalinze ...ni mpango mzuri sana ukitekelezwa ...
The Construction of the 10 billion (about Sh22 trillion) Bagamoyo Port has been suspended, The Citizen has learnt. The government wants to focus instead, on improving the capacity, performance and efficiency of the Mtwara and Dar es Salaam ports.
The Minister for Works, Transport and Communications, Prof. Makame Mbarawa, confirmed yesterday that the construction of what would be the largest port in Africa has been suspended, not shelved to pave way for upgrading berths 13 and 14 as well as developing the Mtwara Port depending on the availability of Funds. The activities would take years to complete, the minister said because the process has to start from finding funding.
Ni maamuzi ya busara Sana.
Source: THE CITIZEN
View attachment 315504
Hivi unajua miaka 30 iliyopita pale ulipojengwa uwanja wa ndege Dar es Salaam palikuwa nje ya mji!?
Je, unajua miaka ya 1980s wakati inajengwa barabara ya 'kisasa' Port Access/Mandela Rd ilikuwa inapitia nje ya mji kuelekea bandarini!?
Na je, unadhani hao 'economic immigrants' ndio wataenda Bagamoyo alafu bandari iwafuate au wataifuta bandari huko!?
Ngoja nifuatilie miji mingine kwenye google na jinsi bandari zake zilivyo located. Nadhani hakuna anayepinga kuzidiwa kwa Dar es Salaam bali wanasema kuiboresha pamoja na Tanga na Mtwara ni faida zaidi kiuchumi badala ya Bagamoyo. Lakini tukumbuke Bagamoyo wanajenga wachina sijui na Oman alafu wanaendesha miaka 50 na hakuna anayejua mkataba unasemaje juu ya extension! Hivyo benefits zake ndio wanaozijua na kwa mwananchi wa kawaida ni sawa na mzee wa Isuna anayeishi kwenye tembe huku akiiona barabara ya rami ikipitisha magari ya kifahari kuelekea Mwanza, Kigari nk.
Sasa mnataka tuwaamini kweli watu ambao wameshindwa kufanya planning za miaka 5 tu kuwa wanaweza ya miaka 50 ijayo!?
Hitimisho ni kuwa titizo la Dar es Salaam ni foleni na Dar es Salaam hakuna barabara. Ukiwekeza trillion mbili kwa miaka mitano kwenye miundombinu ya Dar Es salaam unaweza kupata matokeo yasiyotarajiwa na kusahau hii mriadi tata!
Kuna Mdau mmoja hapa nimemuuliza hayo mapato yote ni mapato yapi lakini hajanijibu labda nisaidie wewe kunipa darasa!!Nakatishwa tamaa sana ninapoona hoja dhaifu kutoka kwa wasomi kama nyinyi,sasa hao wasiobahatika kwenda shule sijui wako ktk hali gani kiupeo?Dr Magufuli yupo sahihi kabisa kuusimamisha mradi wa bandari ya Bagamoyo,bandari ya Bagamoyo ikikamilika itakuwa chini ya China kwa miaka 40,ndani ya muda huu bandari zetu zitaathirika sana kimapato kwasababu nina uhakika wateja karibu wote wa bandari ya Dar watahamia Bagamoyo kwasababu ya ukubwa wake,mbaya zaidi mapato yote ya bandari ya Bagamoyo yataenda China, Sisi tutaambulia vijikodi tu, wakati bandari zetu wenyewe zinazotuingizia mapato kwa 100% zikijifia,huo mkataba wa ujenzi ya bandari ya Bagamoyo ni bomu linalosubiri kutulipukia,bora Magufuli
Na zile advanced commissions kutoa Beijing mtafanyaje kuzirudisha?Hapo wawekezaji walioingia mikataba watakula fedha ya bure kama hii habari ni ya ukweli.