Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,707
Huyu jamaa angepewa hata miaka mingine mitano sijui hali ingekuwaje...Nimecheka sana inaonekana Mkwere amevuruga watu wengi sana na Genge lake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu jamaa angepewa hata miaka mingine mitano sijui hali ingekuwaje...Nimecheka sana inaonekana Mkwere amevuruga watu wengi sana na Genge lake
Nyie watu mna vituko sana! Kwamba kwa miaka 40 hatungekuwa na mapato yahusuyo bandari, unazungumzia mapato yapi hasa? Hivi umeshawahi kujiuliza hiyo bandari ingekuwa na uwezo wa kuhudumia mzigo kiasi gani na kodi ingekusanywa kwa kiasi gani? Au ndo unataka kusema na hiyo kodi ingechukuliwa na Wachina?Kulikua na tetesi kwamba mwekezaji wa bandari hiyo alikua aiendeshe kwa miaka 40 arudishe gharama zake ndio akabidhi. Kwa vyovyote miaka 40 hatungekua na mapato yahusuyo bandari kwa kuwa bandari ya dar ingebidi isimame ili bagamoyo ifanye kazi. Na kwa vyovyote baada ya miaka 40 tungekabidhiwa bandari iliyochakaa na ingebidi serikali itumie gharama kubwa kuirudisha katika hali yake. Wataalamu wanasema hilo ni 'disaster'.
JK janga la taifabandar ya dar iko hovyoo,..local sana,,.wanaangaika na bandar mpya,...jk hovyoooooooo sana,.....ashitakiwee kwa matumiz mabaya
bandar ya dar iko hovyoo,..local sana,,.wanaangaika na bandar mpya,...jk hovyoooooooo sana,.....ashitakiwee kwa matumiz mabaya
Kumbe lowasa alishanusa harufu mbaya kweli ndio maana wote walihubiri mabadiliko.tena ashtakiwe kabisa
kipindi cha kampeni LOWASSA ALISEMA AKISHINDA HII BANDARI YA BAGAMOYO ATASITISHA UJENZI WAKE na pesa zake ataenda kuziboresha bandari za DAR TANGA NA MTWARA
WAKAMJIBU KINA BULEMBO KUWA HUO NI UBAGUZI MBONA SASA NA WAO WAMEFANYA
LOWASSA ALIJUA HII KUWA HAINA TIJA KABISAWASSA
Kwahili ukawa wataisoma namba. Nimekumbuka kitu ndio mahana jakaya alitinga ikulu na mkapa akaenda fasta tofauti na tulivyotegemea na utata zaidi pale mkapa alivyo sema natafanya nawewe kazi yeyote ukipenda kunipa. tofuti jakaya yeye akusema lolote zidi ya kutaka kumkabizi uwenyekiti wa chama
Na hatua stahiki kwa wakati muafaka
Hilo la Tanga hata mimi nina mashaka nalo; tena few weeks ago nilikuwa na mpango wa kwenda kuonana na Afisa mmoja wa TPA ili anipe darsa kuhusu bandari ya Bagamoyo na Tanga lakini kabla sijafanya hivyo likamkumba fagio la Magufuri sasa nikaona nikienda kumuuliza mambo ya Bagamoyo na Tanga tena hatutaelewana!
Lakini hata hivyo, nakumbuka iliwahi kuripotiwa mwaka jana kwamba pale Tanga kuna miradi miwili, private project na government project. Hii private project ni multi-billion dollar project chini ya Braza Rugemalila wa VIP Engineering na wenzake! Iliripotiwa project yao ni mara 3 ya ile ya Bagamoyo. Pamoja na hiyo project ya akina Ruge, kulikuwa na Mwambani Port Project kwa usimamizi wa serikali. Lakini Wachina hawakuwa interested na Mwambani coz' wao feasibility yao waliifanya Bagamoyo na wakachagua Bagamoyo.
Sasa hapa watu tunaweza kujidanganya kwamba Magufuri amefanya maamuzi ya busara kumbe washauri wake wamempiga changa la macho ili kuu-favor mradi wa Ruge na wenzake... kama tujuavyo, Ruge nae kwenye pesa ni kama Nyoka wa Makengeza!
Lakini kwa upande mwingine, kwa miradi mikubwa kama hii Magufuri hatakiwi kutoa maamuzi ya haraka haraka namna hii kama ni kweli! Kenyatta mwenzake hivi sasa pressure inapanda, pressure inashuka manake alipoingia tu madarakani, akakimbilia mradi wa reli ya Standard Gauge lakini lengo lake kubwa ilikuwa ni kuipiga bao Tanzania ili aziteke Uganda na Rwanda kwenye biashara ya usafirishaji! Baada ya Coalition of Willing kupelekwa ICU na Rwanda kuungana na Tanzania kutaka kujenga reli ya pamoja huku Uganda wakipeleka concentration zake South Sudan, kilichobaki kwa Kenya ni kufanya fitina za ziada ili kuzirejesha Uganda na Rwanda coz' Standard Gauge inaweza kuwa white elephant project kama itategemea domestic transportation pekee.
Mkuu vuta subira naamini tutajua mengi muda utasema huu ni mwanzo,mkuu natamani kuijua siri hiyo.funguka kama hutajali
VIVA magu JPM maana jama alitakaga hiyo bandari kwa maslai ya watu wa kwao bagamoyo bila kuangalia maslai mapana ya taifa na hiyo project sio tuu kuipeka mbele bali ni kuifuta kabisa na kuboresha nandari zilizopo TANGA,DSM na MTWARA
kubolesha miundombinu ya reli na barabara za lami kwa ajili ya kurahisisha usafirishaji wa mizigo
Read "suspended not shelved", unajuwa maana yake?
Tuna southern corridor development project. Kuboresha bandari ya mtwari nareli ya kusini hadi kwenda liganga namchuchuma kuzalisha umeme wamakaa ya mawe viwanda vinavyotokana nauwepo wa gas kilimo cha nyanda za juu kusini nakusini ikiwemo korosho nk. Hivi navingine vingi vinatosha kuifanya bandari ya Mtwara kuwa bize kuliko unavyofikiri so huitaji kushindana nalamu kwa ajili ya import but hapa nimuhimu sana kwa ajili ya export for that case uchumi utaweza kuimarika zaid coz bandari itakuwa inaendesha nakuhudumia uchumi wa uzalishaji wa ndani zaidi kuliko uzalishaji wa nje. Pitia doc ya southern corridor dev project uone kwa nini tulipinga ujenz wa Bandar ya bagamoyo. Si kila ushindani wakibiashara nimuhimu wakt mwingine unaweza kuwa nawrong competitor....maadam tuna nia ya kushindana ktk biashara ya iliyojaa ushindani, ya bandari ujenzi wa bandari mpya, kubwa, na ya kisasa haukwepeki....
As usual wewe cna cha kukujibu
na sote tuseme kwamba ushindi mzuri ni ule wa baada ya kipyenga cha mwisho.muda ni hakimu wa haki huwa hauongopiMkuu vuta subira naamini tutajua mengi muda utasema huu ni mwanzo,
Mradi mkubwa kama huu utakuwa na matatizo makubwa kuliko tunavyofahamu,hadi kuchuliwa kwa uamuzi huu.
Ombeni ni karani/mtekelezaji. Siyo mshauri!Hata Ombeni Sefue Ni Vema Akapumzishwe
Sijaona Ikiwa Naye Ana Kasi Yoyote Maana Haya Yalifanyika Akiwa Ikulu