Serikali yataja vipengele 8 muhimu mkataba wa Bandari

Hapo hata mimi fundi viatu nimeelewa,its not over until its over,yaani mkataba utaendelea kuwa hai hadi hapo utakapokwisha,ila wanaweza kuonyeshwa/kuambiwa mwenendo wa mchakato kila baada ya mwaka mmoja au miaka miwili,ila it does not necessary means anything to proceedings attained in contract respectively,yaani utaruhusiwa kuchungulia na kusepa,i stand to be corrected.
 
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa imesema katika kuhakikisha maslahi ya watanzania yanalindwa katika mkataba umeweka vifungu muhimu vinavyolinda ajira za watanzania, Haki za ardhi ya raia, ukomo wa mkataba mahsusi pamoja na masuala yote ya ulinzi na usalama.

Aidha serikali imeweka bayana kuwa wakati wa utekelezaji wa mikataba hiyo ambayo ni;

1. Mikataba itakayoandaliwa itawekwa bayana kipindi cha utekelezaji wake na ukomo wake.

2. Muda wa marejeo ya mikataba hiyo itakua kati ya mwaka mmoja, miwili, mitatu hadi mitano kutegemea na ukubwa wa mikataba hiyo.

3. Viashiria muhimu vya utendaji yaan "Key Performance Indicator" vitaainishwa kwa kila mkataba

4. Uandaaji wa mikataba utafanyika chini ya ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali

5.Mikataba itakayoandaliwa italinda ajira za wafanyakazi wazawa pamoja na kuwajengea uwezo

6. Mifumo yote ya TEHAMA itakayosimikwa itasomana na mifumo ya serikali

7. Taasisi mahsusi za serikali zitaendelea na utendaji wake katika maeneo ya bandari.

8.Muwekezaji kuchukua hatua stahiki za masuala ya utafiti wa masoko ya bandari ya Dar es Salaam.

View attachment 2655103
Heko.
 
Bado sana hapo
 
Upuuzi mtupu, huyu mtu kichwa kikoje? Yaani matobo yote yaliyotolewa na wanasiasa hayaoni? Kuna siku utalipa ufedhuli huu
 
Hivi yule wakili ndg.Bashir Yakub ameelewa haya?!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Amemshambulia sana mwandishi ndg.Deodatus Balile.....

Lakini ameshindwa kutuambia kuwa ni akina nani nao walipata "bahati" ya kwenda Uturuki kwa Yerpi Merkez kabla hatujaingia nao mkataba wa ujenzi wa SGR ambao haukupelekwa BUNGENI kama huu uwazi kwa hawa DP WORLD.....

#MamaAnaupigwaMwingiHaswa[emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23] wanasubiri wachomekwe/waingizwe tu ah ah ah wewe jamaa
Kweli tumeshapakwa.....maumivu ya kuingizwa yatawaletea FAIDA KUBWA na ninyi ambao ni "wakavu" [emoji1787][emoji1787]

#MamaAnaupigaMwingiiii[emoji7][emoji7][emoji2956][emoji2956]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Ajira za watanzania zitalindwa.....[emoji123]

Wafanyakazi wataendelezwa kimasomo....[emoji123]

DP WORLD haitojiri wafanyakazi wa kigeni......[emoji123]

#MamaAnaupigaMwingi[emoji2956][emoji2956][emoji7][emoji7]

Berth 1-7 -For DP WORLD[emoji123]

Berth 8-11 For TPA[emoji123]

Hakika mama anaupiga mwingi [emoji2956][emoji7][emoji7][emoji7]

#SiempreJMT[emoji120]
#SiempreSSH[emoji120]

Imebidi nikuhurumie sana. Mungu akuongoze upate utashi wa kutambua mema na mabaya
 
Upuuzi mtupu, huyu mtu kichwa kikoje? Yaani matobo yote yaliyotolewa na wanasiasa hayaoni? Kuna siku utalipa ufedhuli huu
Ufedhuli upi ?!!!

Unaongelea hisia za moyo wako kwa jambo muhimu hili la uhalisia?!!!

Unatakaje?!!!

Tuendeleze "status quo" ya wizi pale bandarini?!!!

Mpaka lini ?!!

Kwa faida ya watanzania walio wengi?!!!

Kaa kwa amani ajira yako italindwa hapo bandarini na HUTOFUKUZWA....

#Tuko Na DP WORLD[emoji2956]

#MamaAnaupigaMwingiMnoooo[emoji2956][emoji2956][emoji7][emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Berth 1-7 -For DP WORLD[emoji123]

Berth 8-11 For TPA[emoji123]

Hakika mama anaupiga mwingi [emoji2956][emoji7][emoji7][emoji7]

#SiempreJMT[emoji120]
#SiempreSSH[emoji120]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kama anaupiga kwako usishirikishe wengine wacha aupige kwako huo mwingi nyie mshalamba pipi kijiti ya mwarabu uchawa haki yenu mtuache kila mtu na maoni yake
 
Back
Top Bottom