Serikali yataja vipengele 8 muhimu mkataba wa Bandari

Serikali yataja vipengele 8 muhimu mkataba wa Bandari

Berth 1-7......DP WORLD

Berth 8....11 TPA

TPA bado ipo jama....msiogope ?!!!!!

Wazee wa kupiga tulieni ndugu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

#MamaAnaupigaMwingiii[emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Hili goli umejifunga mwenyewe ulipaswa kabla uwaite hawa watu ,tafsiri ya kisomi ni kwamba umekwenda kuomba Radhi umekunya njiani ,mbarawa ni bogus
 
Hili suala la bandari mmmmh...kazi ipo...
 
Naona mambo yameanza kuwa mengi sasa,wacha tuone
 
Unashindwa kujibu ulichoulizwa, kichwa cha panzi kweli aisee. Utindiyo wa ubongo shida sana
Unahamisha magoli ?!!!

Swali lilikuwa ni KWANINI bandari za Zanzibar hazipo katika huu uwekezaji...nikajibu kama tu zimeonewa bandari za bara mbona bandari ya Tanga na Mtwara "haikuonewa"?!!!

Mnakwenda shule kusomea "upumbavu"?!![emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Unahamisha magoli ?!!!

Swali lilikuwa ni KWANINI bandari za Zanzibar hazipo katika huu uwekezaji...nikajibu kama tu zimeonewa bandari za bara mbona bandari ya Tanga na Mtwara "haikuonewa"?!!!

Mnakwenda shule kusomea "upumbavu"?!![emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Sasa km unatumia kamasi km ubongo, ngoja niachane na ww
 
Hivi mnajua capitalist never work under loss??? Mmetwambia hizo bra bra nafaida kedekede fine ,je yeye DP world anafaidikaje? Make hafanyii hasara atakua ameona Kuna kibunda cha maana ndio maana kakaza.

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom