Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Na wakristo wakishakutana na wazungu wanaona kama wamekutana na yesu vile, ha ha ha. Ngoma droo.Waislam wakishakutana na waarabu Yani wanalegea sana maana wanahisi watakosa Jana firidausi
Mwarabu ni ndugu yetu katika imani,sasa mpare,mchagga au msukuma wana lipi kwetu?Inashangaza mbona wamekomaa sana kumpambania mwarabu
Ticts ilikuwa chini ya TPA sasa hivi Tpa inaweza kuwa chini ya DP! Know the differency.Mbona vitu vya msingi sna tu hvyo hapo awali TICS. walipewaje mkataba kuendesha gati na 8 had 11 ? ILIKUWAJE
Heko.Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa imesema katika kuhakikisha maslahi ya watanzania yanalindwa katika mkataba umeweka vifungu muhimu vinavyolinda ajira za watanzania, Haki za ardhi ya raia, ukomo wa mkataba mahsusi pamoja na masuala yote ya ulinzi na usalama.
Aidha serikali imeweka bayana kuwa wakati wa utekelezaji wa mikataba hiyo ambayo ni;
1. Mikataba itakayoandaliwa itawekwa bayana kipindi cha utekelezaji wake na ukomo wake.
2. Muda wa marejeo ya mikataba hiyo itakua kati ya mwaka mmoja, miwili, mitatu hadi mitano kutegemea na ukubwa wa mikataba hiyo.
3. Viashiria muhimu vya utendaji yaan "Key Performance Indicator" vitaainishwa kwa kila mkataba
4. Uandaaji wa mikataba utafanyika chini ya ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali
5.Mikataba itakayoandaliwa italinda ajira za wafanyakazi wazawa pamoja na kuwajengea uwezo
6. Mifumo yote ya TEHAMA itakayosimikwa itasomana na mifumo ya serikali
7. Taasisi mahsusi za serikali zitaendelea na utendaji wake katika maeneo ya bandari.
8.Muwekezaji kuchukua hatua stahiki za masuala ya utafiti wa masoko ya bandari ya Dar es Salaam.
View attachment 2655103
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa imesema katika kuhakikisha maslahi ya watanzania yanalindwa katika mkataba umeweka vifungu muhimu vinavyolinda ajira za watanzania, Haki za ardhi ya raia, ukomo wa mkataba mahsusi pamoja na masuala yote ya ulinzi na usalama.
Aidha serikali imeweka bayana kuwa wakati wa utekelezaji wa mikataba hiyo ambayo ni;
1. Mikataba itakayoandaliwa itawekwa bayana kipindi cha utekelezaji wake na ukomo wake.
2. Muda wa marejeo ya mikataba hiyo itakua kati ya mwaka mmoja, miwili, mitatu hadi mitano kutegemea na ukubwa wa mikataba hiyo.
3. Viashiria muhimu vya utendaji yaan "Key Performance Indicator" vitaainishwa kwa kila mkataba
4. Uandaaji wa mikataba utafanyika chini ya ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali
5.Mikataba itakayoandaliwa italinda ajira za wafanyakazi wazawa pamoja na kuwajengea uwezo
6. Mifumo yote ya TEHAMA itakayosimikwa itasomana na mifumo ya serikali
7. Taasisi mahsusi za serikali zitaendelea na utendaji wake katika maeneo ya bandari.
8.Muwekezaji kuchukua hatua stahiki za masuala ya utafiti wa masoko ya bandari ya Dar es Salaam.
View attachment 2655103
Upuuzi mtupu, huyu mtu kichwa kikoje? Yaani matobo yote yaliyotolewa na wanasiasa hayaoni? Kuna siku utalipa ufedhuli huuSerikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa imesema katika kuhakikisha maslahi ya watanzania yanalindwa katika mkataba umeweka vifungu muhimu vinavyolinda ajira za watanzania, Haki za ardhi ya raia, ukomo wa mkataba mahsusi pamoja na masuala yote ya ulinzi na usalama.
Aidha serikali imeweka bayana kuwa wakati wa utekelezaji wa mikataba hiyo ambayo ni;
1. Mikataba itakayoandaliwa itawekwa bayana kipindi cha utekelezaji wake na ukomo wake.
2. Muda wa marejeo ya mikataba hiyo itakua kati ya mwaka mmoja, miwili, mitatu hadi mitano kutegemea na ukubwa wa mikataba hiyo.
3. Viashiria muhimu vya utendaji yaan "Key Performance Indicator" vitaainishwa kwa kila mkataba
4. Uandaaji wa mikataba utafanyika chini ya ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali
5.Mikataba itakayoandaliwa italinda ajira za wafanyakazi wazawa pamoja na kuwajengea uwezo
6. Mifumo yote ya TEHAMA itakayosimikwa itasomana na mifumo ya serikali
7. Taasisi mahsusi za serikali zitaendelea na utendaji wake katika maeneo ya bandari.
8.Muwekezaji kuchukua hatua stahiki za masuala ya utafiti wa masoko ya bandari ya Dar es Salaam.
View attachment 2655103
Hivi yule wakili ndg.Bashir Yakub ameelewa haya?!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787]Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa imesema katika kuhakikisha maslahi ya watanzania yanalindwa katika mkataba umeweka vifungu muhimu vinavyolinda ajira za watanzania, Haki za ardhi ya raia, ukomo wa mkataba mahsusi pamoja na masuala yote ya ulinzi na usalama.
Aidha serikali imeweka bayana kuwa wakati wa utekelezaji wa mikataba hiyo ambayo ni;
1. Mikataba itakayoandaliwa itawekwa bayana kipindi cha utekelezaji wake na ukomo wake.
2. Muda wa marejeo ya mikataba hiyo itakua kati ya mwaka mmoja, miwili, mitatu hadi mitano kutegemea na ukubwa wa mikataba hiyo.
3. Viashiria muhimu vya utendaji yaan "Key Performance Indicator" vitaainishwa kwa kila mkataba
4. Uandaaji wa mikataba utafanyika chini ya ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali
5.Mikataba itakayoandaliwa italinda ajira za wafanyakazi wazawa pamoja na kuwajengea uwezo
6. Mifumo yote ya TEHAMA itakayosimikwa itasomana na mifumo ya serikali
7. Taasisi mahsusi za serikali zitaendelea na utendaji wake katika maeneo ya bandari.
8.Muwekezaji kuchukua hatua stahiki za masuala ya utafiti wa masoko ya bandari ya Dar es Salaam.
View attachment 2655103
Sawa.....Watu washapakwa mafuta
Unaanzaje kuwa na kujitia hofu bila ya kuujua undani wa kitu?!!!Mambo yanazidi kuwekwa wazi ifike muda tupunguze hofu.
Kweli tumeshapakwa.....maumivu ya kuingizwa yatawaletea FAIDA KUBWA na ninyi ambao ni "wakavu" [emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] wanasubiri wachomekwe/waingizwe tu ah ah ah wewe jamaa
Hakuna asiye kula cha mtu.....labda uupande mwembe mwenyewe...shambani kwako...na uukuze mwenyewe pasi na mtu mwingine....[emoji1787][emoji1787]Ukishakula cha mtu lazima umpambanie
Imebidi nikuhurumie sana. Mungu akuongoze upate utashi wa kutambua mema na mabayaAjira za watanzania zitalindwa.....[emoji123]
Wafanyakazi wataendelezwa kimasomo....[emoji123]
DP WORLD haitojiri wafanyakazi wa kigeni......[emoji123]
#MamaAnaupigaMwingi[emoji2956][emoji2956][emoji7][emoji7]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Ufedhuli upi ?!!!Upuuzi mtupu, huyu mtu kichwa kikoje? Yaani matobo yote yaliyotolewa na wanasiasa hayaoni? Kuna siku utalipa ufedhuli huu
Kama anaupiga kwako usishirikishe wengine wacha aupige kwako huo mwingi nyie mshalamba pipi kijiti ya mwarabu uchawa haki yenu mtuache kila mtu na maoni yakeBerth 1-7 -For DP WORLD[emoji123]
Berth 8-11 For TPA[emoji123]
Hakika mama anaupiga mwingi [emoji2956][emoji7][emoji7][emoji7]
#SiempreJMT[emoji120]
#SiempreSSH[emoji120]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kwa nini wasingesema hayo toka mwanzo? Sasa inaonekana kama wanaokoteza utetezi baada ya kuona reaction ya watu!