Serikali yataja vipengele 8 muhimu mkataba wa Bandari

Imebidi nikuhurumie sana. Mungu akuongoze upate utashi wa kutambua mema na mabaya
Unihurumie nini ?!!

Sitaki kuhurumiwa kwa sababu ya udhaifu wa nafsi wa mtu mwenye kuongozwa na HISIA tu badala ya UHALISIA......[emoji1787][emoji1787]

Berth 1-7-DP WORLD....

Berth 8-11-TPA.....

TPA bado wapo mkuu.....[emoji1787][emoji1787]

#SiempreJMT[emoji120]
#SiempreSSH[emoji120]
#MamaAnaupigaMwingiiii[emoji7][emoji2956][emoji2956]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Kama anaupiga kwako usishirikishe wengine wacha aupige kwako huo mwingi nyie mshalamba pipi kijiti ya mwarabu uchawa haki yenu mtuache kila mtu na maoni yake
Wewe hutaki ,wenzako wanaweza kutaka...

Umechukua takwimu ya wangapi hawataki kusikia mh.Rais SSH anaupiga mwingi ?!!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Uchawa gani ?!!!

Katika mikataba yote duniani hao chawa hawakosekani ?!!!

Wewe na wakili Bashir Yakub mnaweza kututajia ni "chawa" wangapi walikwenda safari "uturuki" kwa Yerpi Merkez kabla ya taifa kuingia mkataba wa ujenzi wa SGR ambao hatukuuona pale BUNGENI ?!!!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Ila Ni kwa Nini bandari za Zanzibar hazimo.halafu mawaziri wengi wa zenji wapo kwenye ishu nyeti
Wewe ni miongoni mwa wajinga mnaorudia hayo maneno ?!!!

Endeleeni kuyarudia mpaka mwaka 3000[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mh.Rais Kagame alitaka apewe bandari ya Dar....hujiulizi kwa nini hakutaka apewe za Zanzibar?!!!

Sijui huwa mnaendeshwa kuyatoa majibu ya hisia katika mitihani ya HESABU ?!!![emoji1787][emoji1787]

#SiempreSSH[emoji120]
#MamaAnaupigaMwingi[emoji2956][emoji7][emoji7][emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Jibu hoja swala la bandari ni la muungano au si la muungano?
 
Eti waarabu wa DP WORLD watawanyima ajira watanzania na kuwaajiri ndugu zao waarabu kumbe uongo bwana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

#MamaHuyoooo[emoji7]

#MamaAnaupigaMwingiMnooo[emoji7][emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Nilitaka nikuelimishe kitu ila baada ya kuangalia aina ya simu ulitumia, nikaona nisipoteze mda kabisa
 
Ability yako ya uelewa ipo chini mmno.
 
Imefika mahali watanzania tukiona neno "serikali" na "8" tunawaza V8 znazomwagwa kama njugu kwa watu wa system
 
Waziri Ni mbunge wa kuteuliwa na Ni mzanzibari.
Katibu mkuu wizara husika Ni mzanzibari .....
Ngoja niishie hapa msije mkasema naleta udini kwenye Mambo ya muziki wa dance.
Usikimbie.....inawezekana kweli unasukumwa na huo UDINI ulioutaja mwenyewe...moyo wako ni shuhuda.....

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Mshenzi mkubwa huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…