Serikali yatangaza ajira mpya 9,675 kada za Ualimu na Afya

Somo la Mathematics kama umetoa kwa bahati mbaya sidhani kama utalikuta tena sijui mfumo wao hauko vizuri, na hata ukijaribu kuweka masomo mawili kuna baadhi yanakataa kukaa mawili.
Ni shida aise sijui watashughulikia hilo tatizo, na kwenye shule za kujitolea nazo hazipo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Mi nimesaidia watu watano mpaka sasa shda tu ni kwangu somo la kufundisha halitokei baada ya kuliondoa
 
Mi nadhani TAMISEMI hawajamsahau huyu mwalimu wa book keeping na commerce. Labda wanataka naye aombe tu, atapangiwa kufundishA kiswahili
 
Ni shida aise sijui watashughulikia hilo tatizo, na kwenye shule za kujitolea nazo hazipo

Mi nimesaidia watu watano mpaka sasa shda tu ni kwangu somo la kufundisha halitokei baada ya kuliondoa
Mkuu barua inaandikwa kwa lugha gani
 
System ya awamu hii haina complications hasa upande wa network yani inafunguka fasta tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…