Serikali yatangaza ajira mpya 9,675 kada za Ualimu na Afya

Utaratibu kwa ambao hawajawai jisali upoje
 
Tatizo wote Wanasifa yaan hapo kuna mwanya mkubwa Sana wa rushwa , Labda wangeajiri mwaka Kwa mwaka au miaka miwili miwili ....!! Watu zaidi ya laki ajira 6000+[emoji849] .....kazi ipo , Jiwe alitengeneza tatizo kubwa Sana
Bora kidg kuliko hakuna! Hata km ni wewe ndo ungekua mwenye nchi usingeajili watu laki! Labda km mshahara ungekua mandazi
 
Hivi hii nchi wanaotakiwa kuajiriwa ni walimu pekee? huku kwengine hakuna ajira mpya hadi kazi zinakuwa nyingi na kufanywa na wale wanaojitolea, halafu utegemee ufanisi....
Kwingine wapi boss! Kuwa specific? Kwenye nchi hii ukiambiwa utaje watu waliojazana mtaani bila ajira afu usitaje walimu! Watu lazma wakupige mawe
 
mfumo wa hovyo kwanini kila saa inasemeka

Unauthorized User​

 
Hakuna ajira zinazo toka bila criteria.na huwezi kuajiri hovyo bila utaratibu wala vipaombele eti kisa tu kwa vile kuna uhaba wa walimu
Bila utaratibu na vipaumbele kivipi, kama kozi zinatolewa huko vyuoni maana yake kuna mahitaji mashuleni, na kama kuna uhaba wa walimu lazima hizo nafasi zijazwe sio kila siku kuziba mapengo, naona una mawazo mafupi ndio maana elimu ya Tz ni shida watoto wanamaliza std 7 hawajui kusoma na kuandika.
 
Km unatumia cheti cha form four weka NECTA ,Sema ukifka kwenye kipengele cha kuhakiki ndoshida inakua hapo wanasema taarifa sio sahihi.
Kama kwenye cheti chako kuna initial yani jina limewekwa kifupi mfano Juma C. Paul..hiyo C iweke hivyo hivyo kwenye middle name na sio Chalamila au Clement
 
Source ya Hilo tangazo uliloweka Ni wapi Mana minikiingia tamisemi nakuta tangazo tofauti na Hilo ambalo halina limit ya muda Yani hata waliomaliz chuo 2020 wanaruhusiwa kuomba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…