Serikali yatangaza ajira za ualimu kwa mwaka 2024 zaidi ya nafasi 11,000

Kuna mwalimu yeyote kafanikiwa kufanya application,...

Nyingi Ni failed ...

Huu mfumo sio poa kabisa
 
Safari hii kazi wanayo πŸ˜‚ tena wana Interview tatu Written, practical na Oral πŸ˜‚
 
Hawa walimu sio tu usaili wapewe na mitihani watakaofaulu ndo wapewe hiyo ajira tuna kundi kubwa la walimu wa hovyo

Naomba viongozi msome hii sms na muifanyie kazi]
Au watakaofaulu interview zote tatu Written, practical na Oral wapewe tena mtihani ili kuthibitisha walifanya vzr kwenye hizo usaili walizofanya πŸ˜‚
 
Hatari sana... Hili swali nililitegemea kule Facebook ila sio hapa Jf
πŸ˜‚ Interview ya kwanza kabisa ni h kuomba ajira kupitia ajira Portal, kuna wengi sana itafika deadline hawajakamilisha mambo muhimu na ndipo idadi ya kupunguzwa itakapoanzia hapo kabla ya interview yenyewe πŸ˜‚
 
Wakuu msaada ...
Jamaa ali- certify vyeti vyake mwaka 2019 ,,, jee nakala hizo anaweza kuzitumia katika hizi ajira ,,, au anatakiwa aende tena mahakamani aka-certify na upya ili muhuri usije kuonekana wa zamani mno ???
Hizo hizo
 
Taarifa za mwezi Septemba 2024 zilizovuja ni kwamba, waalimu zaidi ya laki mbili walifanyiwa usaili wa aina tatu
1: Written 2: Practical 3: Oral

Ili wapatikane waalimu 11,000 tuu πŸ˜‚
Time travelling au sio?
 
Heey! wakuu samahani naomba kuuliza hivi ni laazma CV iwe printed au!!? Yaani katika kuongeza ufanisi inatakiwa iwe hivyo msaada plzπŸ‘ƒπŸ‘ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…