Serikali yatangaza ajira za ualimu kwa mwaka 2024 zaidi ya nafasi 11,000

Heey! wakuu samahani naomba kuuliza hivi ni laazma CV iwe printed!!? Au katika kuongeza ufanisi inatakiwa iwe hivyo msaada plzπŸ‘ƒπŸ‘ƒ
Iwe printed kvp, kwan c unaweka softcopy kwenye system au sijakuelewa?
 
Iwe printed kvp, kwan c unaweka softcopy kwenye system au sijakuelewa?
Yaani niiprint kwanza ndo niiscan au manake ndo naandika hapaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†Nilikua sina
 
Yaani niiprint kwanza ndo niiscan au manake ndo naandika hapaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†Nilikua sina
Kwan hapo hapo ulipotype huwezi kuipost moja kwa moja kwenye system mpaka ukaiprint?
 
hapana mkuu hapo zipo nafasi za walimu ngazi zote
yaani msingi na sekondari,walimu wa grade IIIA ,Diploma na degree labda hujapitia vzr Tangazo ndugu mwalimu
Nilivyopitia mimi
Hao daraja la IIIB ni diploma na daraja la IIIC ni degree. Sasa rudi kasome tena utaona diploma wamepewa nafasi chache sana ambazo ni Food and Nutrition na Commerce
Ukija kwa hao daraja la IIIC wao ndio wenye degree na ndio wamepewa nafasi nyingi kwenye
FIZIKIA
MATH
GEOGRAPHY
BAIOLOJIA
Swali langu likawa mbona hayo masomo wapo pia wa Diploma na hawajaweka hapo?
 
Lipi jema sasa? Wakipangwa kwa miaka mnalalmika,wakikaribishwa woote mnalalamika!! Ipi bora?
 
Mitano tena
 
Sasa mkuu, yamepita masaa 17 tangu ajira zitangazwe na ww umeshafikia kuomba kazi ndani ya huo muda, una uhakika umekamilisha mambo yote yanayohitajika kwenye mfumo?
Mimi nilikuwa na account ajira portal mkuu ,sio kwamba Leo ndio naanza kufanya registration..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…