Serikali yatangaza ajira za ualimu kwa mwaka 2024 zaidi ya nafasi 11,000

Iwe printed kvp, kwan c unaweka softcopy kwenye system au sijakuelewa?
Aiseee nampongeza sana Simbachawene! Hakika katika hili ameupiga mwingi pamoja na waziri wa tamisemi
Nimecheka sana hilo swali πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Utaitwa kote kama unavigezo lakini tatizo linakuja kama usaili umapangiwa siku moja na unafanyika Kwa Mda mmoja kama hapo itabidi uchague kipi unachotaka, kama usaili unafanyika siku tofauti hapo umepona NI kujipanga Tu na nondo za class
Hiyo ilikuwa zamani unaweza kuitwa kote lakini siku hizi unaitwa sehemu moja tuu! Get ready
 
Nakutana na rungu moja zito "application failed " πŸ˜‚πŸ˜‚
Angalia program category halafu angalia pia sifa ulizonazo kama zinaendana na nafasi unYotak omba! Kama una degree kazi inayokufaa ni ya degree tuu ….
 
Mwenye uelewa mpanga na Aya aje PM msaada tutani wakuu
 
Hiyo ilikuwa zamani unaweza kuitwa kote lakini siku hizi unaitwa sehemu moja tuu! Get ready
Mmh! Wanaitwa mkuu kikubwa utimize vigezo vyao mkuu, mara ya mwisho kuona hiyo ni za mwaka jana 2023 zile za MDA na LGA watu waliitwa kukandwa mara 2 wengine zilikutanishwa kwa mda mmoja wengine walibahatika mda tofauti na siku tofauti wakaingia kwenye mikando vizuri tu
 
Shida hapo ni kwenye muda ukibahatila ni vizuri
 
Aiseee nampongeza sana Simbachawene! Hakika katika hili ameupiga mwingi pamoja na waziri wa tamisemi
Nimecheka sana hilo swali πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Usicheke mkuu, huyo ndo anakwenda kuja kumfundisha mwanao πŸ˜‚
 
Hahahaha eti alitaka apangiwe kituo bila interview πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wajiandae na written, practical na Oral πŸ˜‚ yn kazi wanayo aisee.
Huu mfumo nimeupenda sana πŸ˜‚ sijui walikuwa wanasubiri nn miaka yote hy πŸ˜‚
 
Safi sana mama Samia
 
Mwenye uelewa mpanga na Aya aje PM msaada tutani wakuu
Sema hapa ili usaidiwe na ili iwe kwa manufaa ya wengi humu, Mm nikija pm ntakuambia unilipe ila hilo hilo swali ukiliweka hapa utasaidiwa/nitakusaidia bure 😎
 
Kwaiyo hakuna wa kunisaidia nimesahau username na passwords Kila nikijaribu inakataa
 
Kaka Mungu akutie nguvu kuwaelekeza walimu ni Kazi sana
Na Mm n furaha yangu kuwaona kila mtu akifanikisha jambo lake kwa ufanisi ndio mana kila tatizo ambalo lipo ndan ya uwezo wangu nitawaelekeza.

Ila wale wote ambao hawataki usaili lazima niwape tumbo joto πŸ˜‚
 
Kwaiyo hakuna wa kunisaidia nimesahau username na passwords Kila nikijaribu inakataa
Wasiliana nao watakusaidia ila kuwa mvumilivu mana wanazingua sana kwenye kupokea simu.
Ila mkuu yn mpaka username Umesahau kweli πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…