Serikali yatangaza ajira za ualimu kwa mwaka 2024 zaidi ya nafasi 11,000

Mkuu bifu lako na walimu litaisha lini?
Sina bifu na waalimu, ila nna bifu na wale ambao walikuwa hawataki usaili, sasa matokeo yao tumeyapata n kwann hawakutaka usaili kumbe ni vilaza wanapata 0% πŸ˜‚
 
Hivi huyu mwalim aliepata 0 ana GPA ya ngapi?
Ukisikiliza utetezi wa waalimu n kwann hawatakiwi kufanya usaili wanasema kuwa wamepitia michujo mingi mpaka kuwa na uwezo wa kuwa waalimu, lkn cha kushangaza huyo huyo aliyepitia michujo mingi bado anaogopa usaili wa kupata kazi πŸ˜‚
 
Hivi huyu mwalim aliepata 0 ana GPA ya ngapi?
Sikia mkuu, Hawa jamaa wa psrs hawasahihishi. Wanakadiria tu jaribu kupitia matokeo wanayoyatoa utathibitisha hili. Watu Wana uwezo mzuri tu ila ndo hivyo hawasahihishi. Imagine watu 28000+ wamesahihishwa ndani ya siku Moja kitu ambacho hakiwezekani.
 
Hao ndo wale walikuwa hawataki usaili πŸ˜‚
Utumishi shikilieni hapo hapo πŸ˜‚
Utumishi wanakanda sana Aise, kama una Roho ndogo, utakuwa unalia kila kukicha... πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“.

Naona utumishi waendelee tu na mikando hivi hivi mpaka kieleweke πŸ€“πŸ€“
 
Ww una matatizo yako binafsi na utumishi kisa walikunyoosha, sasa kama wanakadiria bc bado wapo sahihi kwa sababu sio rahisi kumkadiria mtu afu uumpe 90% afu hapo hapo mwngn umkadirie then uumpe 20%.

Kwahy kwa ulichosema hapo bado utumishi wapo sahihi, ww Kubali tuu kuwa h haikuwa nafasi yako na umefeli kwahy kuwa mpole na ukubali hiyo hali mana mwisho wa siku utakufa kwa stress
 
Utumishi wanakanda sana Aise, kama una Roho ndogo, utakuwa unalia kila kukicha... πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“.

Naona utumishi waendelee tu na mikando hivi hivi mpaka kieleweke πŸ€“πŸ€“
Yah hakuna kazi bila usaili πŸ˜‚
 
Utumishi matapeli tu kna matapeli mengine. Wanajali perdiem zao tu. Hata uwatetee vipi Bado haiwafanyi kuwa SI matapeli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…