Serikali yatangaza ajira za ualimu kwa mwaka 2024 zaidi ya nafasi 11,000

Mchakato this time ni mrefu, utumishi wana mlolongo siyo kama TAMISEMI wao walikuwa wanajifungia ofisini wanagawana nafasi then wanaachia.
Mkuu huwez jua kugawana nafasi kupo tu ata huko utumishi inawezekana wakagawana pia. Cha msingi kuwa na imani muda wako utafika mkuu ata wakigawana nawewe utakuwemo mkuu
 
Mkuu huwez jua kugawana nafasi kupo tu ata huko utumishi inawezekana wakagawana pia. Cha msingi kuwa na imani muda wako utafika mkuu ata wakigawana nawewe utakuwemo mkuu
Mimi Wala sihusiki na ajira hizi natoa maoni tu, nimesema utumishi wana mlolongo mrefu kuliko TAMISEMI. Angalia hata tangazo la utumishi lipo kiprofesional zaidi.
 
Nikweli mkuu
 
U C H A G U Z I U M E W A D I A.
 
Au sio , interview ya ualimu sijui watafanya Namna gani kuhakikisha wote wamepita kwenye mchujo 😂

Mchujo na wote kupita mbona haviendani?? Wanachuja ili wapite wachache wenye sifa zaidi katika wengi. Nadhani itakua hivi, mathalani wameomba watu laki mbili, wanapigwa pepa moja zito la taaluma zao, atakaefaulu anaenda next step. Hapo next step, kama ni practical au ni oral, napo unapigwa maswali mazito ya fani yako na ukionesha umahiri ukapita unapata kazi.
 
Hivi serikali siku hizi haiajiri walimu wenye certificate??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…