Serikali yatangaza ajira za ualimu kwa mwaka 2024 zaidi ya nafasi 11,000

Interview zote ni kwa kingereza
 
Au sio , interview ya ualimu sijui watafanya Namna gani kuhakikisha wote wamepita kwenye mchujo 😂
Kwani wengine wanafanyaje? Wewe ni mgeni wa interview? Hapo kuna written mchujo na zinafanyika kwa kanda halafu inakuja ya kuongea inafanyika kwa kanda pia! Hongera sana Simba chawene sasa walimu wanafanya interview😂😂😂😂😭
 
Hapa malalamiko yatapungua
 
Dogo langu amesoma literature in english kweny tangazo wameandika English literature, je anaweza omba hapo au hiz ni tofaut kabisa?
Kama kasoma na ualimu anaweza ku9mba ila kama hajasoma ualimu kasoma tu literature in english akae mbali😂
 
Hapana iko hvi
Wapo waliosoma shahada ambazo si za ualimu mfano comupter sciemce au bachelor ya mathematics n.k ambazo si za ualimu ila akasoma na postgratuate diploma in education anaruhusiwa kuomba na ata Tangazo limeweka wazi
Kama hunaelewa u aruhusiwa kuuliza
 
Shukrani Kwa Elimu.

Nategemea waombaji wameelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…