Serikali yatangaza ajira za ualimu kwa mwaka 2024 zaidi ya nafasi 11,000

Kumbe Kuna na mambo ya kupeleka vyeti Kwa mwanasheria
 
Kuna mwalimu hapo nmemuelekeza halafu tena anarudi tena kusema tofaut na nilivomwambia
Nilichogundua hawa waalimu wanatetemeka ata kabla ya usaili😁😁😁
inabidi kwenda nao taratibu
Maaana huu mfumo kwao hawajauzoea ,walizoea wa konba komba yaani ukituma maombi tuu unakaa unakunywa pepsi ya baridi au juisi ya tende unasubiri post umepangwa wapi yaani zile za ubwete ubwete😁😁 utoki jasho maana ata vyeti walikua hawathibitishi kwa wanasharia /mahakamani
Kwao huu mfumo ni usaili tosha
 
Hiyo postgraduate asiiweke kwenye mfumo wake .. akiiewaka tu hatawahi Tena kuomba nafasi za degree kupitia ajira portal
Lakini huu mfumo wa kihuni,kwanini wasiufanye ukawa na uwanda mpana kwa mwombaji kufanya atakacho,sasa mfumo kama nilijisajili nina diploma baadae nikajiendeleza hadi masters unashindwa kunitambua basi kuna shida sehemu.

Wahusika waurekebishe
 
Hawa walimu sio tu usaili wapewe na mitihani watakaofaulu ndo wapewe hiyo ajira tuna kundi kubwa la walimu Tanzania

Naomba viongozi msome hii sms na muifanyie kazi
Lazima waanze na Pepa then taratibu zingine za ajira zitafaata.
 
Lakini huu mfumo wa kihuni,kwanini wasiufanye ukawa na uwanda mpana kwa mwombaji kufanya atakacho,sasa mfumo kama nilijisajili nina diploma baadae nikajiendeleza hadi masters unashindwa kunitambua basi kuna shida sehemu.

Wahusika waurekebishe
Piga simu PSRS watakuja kusaidia. Au waimeli IPO hivyo miaka yote.
 
CC Lucas Mwashambwa
 
Haya madaraja yanamaanisha nini
A ni watu gani
B ni watu gani
C ni watu gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…