Serikali yatangaza ajira za ualimu kwa mwaka 2024 zaidi ya nafasi 11,000

Kwa hyo walimu wootee watakuwa na mtiani mmoja au kutakuwa na mtiani wa physics kwa walimu wa physics ,, geography kw walimu wa geography ?? Etc au wanaa mfumo utakuwaje kwenye mitiani ??
 
Na physics Kuna diploma na degree

Kila kada na mtihani wake
Kiswabili wa kwake na english wake,hivyo hivyo kwa masomo yote
 
sama
Ndugu mwalimu Mafwimbo naomba nikutoe hofu hapo hakuna tatizo lolote endelea na maandalizi ya mkando
naomba kuuliza, nimepitiia majina ya waliopewa ajira za ualimu mwaka jana na juzi sijaona mtu mwenye INITIAL NAME pale kwenye jina lake la katikati na wote majina yao matatu yameandiwa kwa ulefu(NO INITIAL NAME) na ata awa walioitwa kwenye usaili jana ni hivyoivyo, swali langu ni je, sisi wenye initial katikati kwenye vyeti vyetu vya kitaaluma uwa atuitwi kwenye usaili au ajira? au tulitakiwa nasisi kuandika majina yote matatu kwa kilefu bila ufupisho kama yalivyo kwenye cheti cha kuzaliwa na NIDA wakati wa kuomba ajira kwenye mfumo wa ajira portal?
 
Nafikiri utambulisho wa nida ndio unatumika kutoa orodha ya majina na sio vyeti maana kwenye nida majina lazima yawe matatu na ndio hutumika kulog in kwenye ajira portal

Ngoja wajuvi waje wafafanue zaidi
 
Kwanzaa, kwe Chet cha taaluma ndo kunakuaga na initials,,,,lkn kwe birth certificate and National ID , NO initial it means initial yako ya kwe Chet cha taaluma itarefushwa kwe birth certificate itakua Kwa kirefu na ID itakua Kwa kirefu
Inshort hakuna shida maana majina harisi wanayatoa kwe
NIDA number
 
nitash
Nafikiri utambulisho wa nida ndio unatumika kutoa orodha ya majina na sio vyeti maana kwenye nida majina lazima yawe matatu na ndio hutumika kulog in kwenye ajira portal

Ngoja wajuvi waje wafafanue zaidi
nitashukuru saana nikipata ufafanuz zaidi make mm sijaona mtu mwenye initial kwenye yale majina ya ajira koo ndio nikawa nachanganyikiwa apa
 
nijibu kwanza nikivipi niwe na amani akati sijapata maelezo ya kutosha kwenye changamoto yaangu?
Jibu ni kuwa details za majina yanayotolewa kwenye pdf zinatolewa kwenye NIDA ambayo ndiyo first requirement wakati unajisajili

And always NIDA display three names
 
Back
Top Bottom