Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hyo walimu wootee watakuwa na mtiani mmoja au kutakuwa na mtiani wa physics kwa walimu wa physics ,, geography kw walimu wa geography ?? Etc au wanaa mfumo utakuwaje kwenye mitiani ??
Kila kada na mtihani wakeKwa hyo walimu wootee watakuwa na mtiani mmoja au kutakuwa na mtiani wa physics kwa walimu wa physics ,, geography kw walimu wa geography ?? Etc au wanaa mfumo utakuwaje kwenye mitiani ??
Jikumbushie humo mkuuJamani hali imekuwa tete, mwenye notes za scheme of work na curriculum na sylabus na kadhalika, share
Ndio maana uzi umepoa kumbe mnawapondea walimuSiku zote watu wanapondea sana kazi ya ualimu lakini kwenye huu uzi watu wanapambana wamejitoa akili km sio wao vile... Mpwayungu sijui Yuko wapi aje awa-mind
Mkuu watu ni wanafiki sana kila siku wanatukana ualimu but Leo wamejitoa ubongo km sio wao vileNdio maana uzi umepoa kumbe mnawapondea walimu
Aisee sasa tutatoboaje si watu watashindwa kuleta nondo zao humuMkuu watu ni wanafiki sana kila siku wanatukana ualimu but Leo wamejitoa ubongo km sio wao vile
naomba kuuliza, nimepitiia majina ya waliopewa ajira za ualimu mwaka jana na juzi sijaona mtu mwenye INITIAL NAME pale kwenye jina lake la katikati na wote majina yao matatu yameandiwa kwa ulefu(NO INITIAL NAME) na ata awa walioitwa kwenye usaili jana ni hivyoivyo, swali langu ni je, sisi wenye initial katikati kwenye vyeti vyetu vya kitaaluma uwa atuitwi kwenye usaili au ajira? au tulitakiwa nasisi kuandika majina yote matatu kwa kilefu bila ufupisho kama yalivyo kwenye cheti cha kuzaliwa na NIDA wakati wa kuomba ajira kwenye mfumo wa ajira portal?Ndugu mwalimu Mafwimbo naomba nikutoe hofu hapo hakuna tatizo lolote endelea na maandalizi ya mkando
Nafikiri utambulisho wa nida ndio unatumika kutoa orodha ya majina na sio vyeti maana kwenye nida majina lazima yawe matatu na ndio hutumika kulog in kwenye ajira portalsama
naomba kuuliza, nimepitiia majina ya waliopewa ajira za ualimu mwaka jana na juzi sijaona mtu mwenye INITIAL NAME pale kwenye jina lake la katikati na wote majina yao matatu yameandiwa kwa ulefu(NO INITIAL NAME) na ata awa walioitwa kwenye usaili jana ni hivyoivyo, swali langu ni je, sisi wenye initial katikati kwenye vyeti vyetu vya kitaaluma uwa atuitwi kwenye usaili au ajira? au tulitakiwa nasisi kuandika majina yote matatu kwa kilefu bila ufupisho kama yalivyo kwenye cheti cha kuzaliwa na NIDA wakati wa kuomba ajira kwenye mfumo wa ajira portal?
nitashukuru saana nikipata ufafanuz zaidi make mm sijaona mtu mwenye initial kwenye yale majina ya ajira koo ndio nikawa nachanganyikiwa apaNafikiri utambulisho wa nida ndio unatumika kutoa orodha ya majina na sio vyeti maana kwenye nida majina lazima yawe matatu na ndio hutumika kulog in kwenye ajira portal
Ngoja wajuvi waje wafafanue zaidi
Kuwa na amani ndgu jiandae na usailinitash
nitashukuru saana nikipata ufafanuz zaidi make mm sijaona mtu mwenye initial kwenye yale majina ya ajira koo ndio nikawa nachanganyikiwa apa
Ahsante mkuuKazi kwenu vijana
OkAhsante mkuu
nijibu kwanza nikivipi niwe na amani akati sijapata maelezo ya kutosha kwenye changamoto yaangu?Kuwa na amani ndgu jiandae na usaili
Jibu ni kuwa details za majina yanayotolewa kwenye pdf zinatolewa kwenye NIDA ambayo ndiyo first requirement wakati unajisajilinijibu kwanza nikivipi niwe na amani akati sijapata maelezo ya kutosha kwenye changamoto yaangu?