Serikali yatangaza tenda ya ujenzi wa mwendokasi kutoka Maktaba ya Taifa Posta- Mwenge- Ubungo-Tegeta

Hivi umeangalia vizuri Ile barabara ya morroco mwenge..Ina space kubwa katikati ambayo haijaendelezwa ..means ndio itatumika kwa mwendokasi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu umeangalia vizuri barabara ya morroco mwenge lakini? Katika Ina space kubwa ambayo haijaendelezwa...means hiyo ndio iliachwa makusudi kwa mwendo Kasi.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Pia barabara ya tegeta kwenda mwenge kulikua na ujenzi wa service road hivi karibuni. Mfano maeneo ya makonde, goig, africana ambazo nahisi zitabomolewa tena.
Tender ikitangazwa inahusisha ujenzi wa barabara yote, kuanzia service road, main, brt, pedestrian etc

Tender number 4 haitaanza kabla ya Tender ya 3, Gongo la Mboto Kariakoo
 
Tatizo mnakariri

Mwenge kipindi cha Magu hawakuvunja, waliongeza tu... Baadae wajapani wakatoa grant ya hiyo barabara, ndo waiona kama ilivyo leo
 
Wengine wanaona vitu kwenye TV
 
Mwanasiasa ndo mwenye akili kuliko watu wenye fani zao......yaani hapo wa kulaumiwa ni wanasiasa tena Wana CCM kwa upumbavu huu
 
Itakuwa hukuwepo mjini 2007 ukaona usafiri wa kimara ulivyo shida...kajaribu kutafuta gari ya mbagala pale gerezani saa kumi jioni
 
Tunasubiria ujenzi
 
Hii Nchi ina mambo ya kijinga Sana na haina watu wa kuangalia mbali.
 
Gharama ya mzungu unaijua? Unadhani hawataki kumpa? Wazungu wako expensive kiasi kwamba 30% ya cost itakuwa ni preliminary and Genera items,Mchina hana hizo biashara.
 
Hicho kilimo watu wataingizwa kwa mate au pesa? Ukisikia Mwigulu Jana kasema kama watu wanataka tutumie pesa za mikopo kujenga miradi ya pesa.za tozo manake Pesa za kilimo.zisiwepo..

Watzn ni watu wa ajabu Sana wanataka wanataka vitu vizuri ila hamtaki kugharamia,then agharamie nani sasa?
 
Hii miradi mbona kama haieleweki
Mnataka kuleta usumbufu tu

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…