kabisa....si kila mahali kuvurugwe eti mwendo kasi. ukanda huo wa posta mwenge ungeachwa tu. wahangaike kutokea moroco....anyway ujenzi unajumuisha tenda na rushwa kubwakubwa, tusishangae siku moja kusikia ocean rod/obama road inajengwa mwendo kasi.Hii miradi mbona kama haieleweki
Mnataka kuleta usumbufu tu
Ova
Kwamba msio serikalini ndiyo mna uchungu na pesa na ikiingia tu serikalini unakua huna uchungu na pesaHao unaoita serikali waha hawana hata uchungu na pesa maana kwao hizo miradi ni fursa..
#watakula wapi?,isipovunjwa!Kwahiyo kipande cha Morocco Mwenge kitavunjwa kwa mara nyingine
- Wakati wa JK kilivunjwa kikaongezwa lane ya 3
- Mwendazake akavunja na kujenga kwa fedha ya Uhuru
- Majuzi majuzi kilivunjwa na kuwekwa mitaro mipana chini ya ardhi
- Na sasa kinavunjwa kuweka miundombinu ya mwendokasi
Hapana hii tayari wamesha andaa sehemu itakayopita mwendokasi ukipita njia hii utaona katikati kumeachwa kusubiria ujenzi huo kuanza hivyo ina maana barabara iliyokamilika haitaguswaBarabara ya Mwenge tunaenda kuijenga mara ya tatu sasa ndani ya kipindi kifupi. Tulijenga kwa pesa za maadhimisho ya Uhuru, tukaijenga tena kwa ufadhili wa Japan, tunaenda tena kuijenga kwa pesa za mkopo. Ukosefu wa mipango na watu kutafuta asilimia zao.
Bado itaenda kuathiri Tu barabara za pembeni ishu za ujenzi zinakuwa na changamoto SanaHuoni Kati kati tayari kuna nafasi ya mwendokasi
Kwakua wanajeshi sio ....Pale Lugalo wanajeshi wamejitahidi sana kuitunza ile garden katikati ya barabara. Nashauri zile Palm tree zisikatwe.
Kwa mpango uliokuwepo ni phase sita zikamilike mpaka kufikia hiyo 2030, phase inayofatia ni kati ya gongo la mboto au Mandela road.Sioni sababu kuanza mrad huu Sasa HV wangeanza by 2030
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Umenikumbusha way back 2018 nilikanyaga hizo garden wakati navuka barabara aisee,kitambulisho ndo kilichoniokoa..Pale Lugalo wanajeshi wamejitahidi sana kuitunza ile garden katikati ya barabara. Nashauri zile Palm tree zisikatwe.
Kwa akili zako unaona hicho kipande kitatosha Two lanesIle nafasi kubwa katikati ulifikiri ni mapambo?
Sasa wewe inakuuma nini wakati hela Katoa world bankGharama ya mzungu unaijua? Unadhani hawataki kumpa? Wazungu wako expensive kiasi kwamba 30% ya cost itakuwa ni preliminary and Genera items,Mchina hana hizo biashara.
Phase I alikuwa ni Mjerumani huwezi linganisha kazi zao na wachina....Nimeona katika gazeti Serikali inatafuta kampuni ya ujenzi wa barabara ya mwendokasi pamoja na vituo vyake.
Kutoka maktaba ya taifa to Mwenge/Ubungo 13.5 km utakuwa na vituo visivyopungua 20
Kutoka Mwenge to Tegeta Dawasa 15.63 km itakua na vituo visivyopungua 19.
View attachment 2363211
Ujenzi wa phase 4 katika jiji la Dar es Salaam unasimamiwa Na tanroads. Ngoja tuone pindi utakapokamilika.
Ila ingewafaa wasitumie yule mkandarasi wa Mbagala to Kariakoo na Mbagala tu Magomeni. Naona design na ujenzi huko chini kidogo ya viwango tofauti na hii phase one ya mwendokasi tunayotumia.
Hapo ndipo akili ya mwafrika ilipolala!! Kila siku tunakosa vipaombele.Barabara ya Mwenge tunaenda kuijenga mara ya tatu sasa ndani ya kipindi kifupi. Tulijenga kwa pesa za maadhimisho ya Uhuru, tukaijenga tena kwa ufadhili wa Japan, tunaenda tena kuijenga kwa pesa za mkopo. Ukosefu wa mipango na watu kutafuta asilimia zao.
Hata Mbagala kulitebgwa nafasi, lakini wakabomoa barabara wakajenga tena.Huoni Kati kati tayari kuna nafasi ya mwendokasi
We huwa wanavunja, kama ya Mbagala ikibomolewa, labda hii kama vipimo waliweka sawa hawa Makandalas. Kumbuka vivuko vya waenda kwa miguu matuta kila kituo. Lazima watazibonda hizo road za sasaIle nafasi kubwa katikati ulifikiri ni mapambo?
Akili huna,sio msaada huo bali ni mkopoSasa wewe inakuuma nini wakati hela Katoa world bank
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Mbagala ile barabara ni ya miaka ya 90 na haikuandaliwa kwa ajili ya mwendokasi.We huwa wanavunja, kama ya Mbagala ikibomolewa, labda hii kama vipimo waliweka sawa hawa Makandalas. Kumbuka vivuko vya waenda kwa miguu matuta kila kituo. Lazima watazibonda hizo road za sasa