Ng'ombe bado anatoa maziwa.Kwahiyo kipande cha Morocco Mwenge kitavunjwa kwa mara nyingine
- Wakati wa JK kilivunjwa kikaongezwa lane ya 3
- Mwendazake akavunja na kujenga kwa fedha ya Uhuru
- Majuzi majuzi kilivunjwa na kuwekwa mitaro mipana chini ya ardhi
- Na sasa kinavunjwa kuweka miundombinu ya mwendokasi
Hongera Rais Samia Suluhu kwa kusimamia maendeleo kikamilifu Tanzania ni salama na SamiaNimeona katika gazeti Serikali inatafuta kampuni ya ujenzi wa barabara ya mwendokasi pamoja na vituo vyake.
Kutoka maktaba ya taifa to Mwenge/Ubungo 13.5 km utakuwa na vituo visivyopungua 20
Kutoka Mwenge to Tegeta Dawasa 15.63 km itakua na vituo visivyopungua 19.
View attachment 2363211
Ujenzi wa phase 4 katika jiji la Dar es Salaam unasimamiwa Na tanroads. Ngoja tuone pindi utakapokamilika.
Ila ingewafaa wasitumie yule mkandarasi wa Mbagala to Kariakoo na Mbagala tu Magomeni. Naona design na ujenzi huko chini kidogo ya viwango tofauti na hii phase one ya mwendokasi tunayotumia.
We ni mpuuzi unajua masharti ya huo mkopo mbwa wewAkili huna,sio msaada huo bali ni mkopo
Mkandarasi wa kwanza alikuwa Strabag na alifanya vizuri sana. Ila wa pili mizinguo kweli.Nimeona katika gazeti Serikali inatafuta kampuni ya ujenzi wa barabara ya mwendokasi pamoja na vituo vyake.
Kutoka maktaba ya taifa to Mwenge/Ubungo 13.5 km utakuwa na vituo visivyopungua 20
Kutoka Mwenge to Tegeta Dawasa 15.63 km itakua na vituo visivyopungua 19.
View attachment 2363211
Ujenzi wa phase 4 katika jiji la Dar es Salaam unasimamiwa Na tanroads. Ngoja tuone pindi utakapokamilika.
Ila ingewafaa wasitumie yule mkandarasi wa Mbagala to Kariakoo na Mbagala tu Magomeni. Naona design na ujenzi huko chini kidogo ya viwango tofauti na hii phase one ya mwendokasi tunayotumia.
Una uhakika ?Mbagala ile barabara ni ya miaka ya 90 na haikuandaliwa kwa ajili ya mwendokasi.
Hapa shida ni uhakika wa umeme tu mkuu na urasimu wa wanasiasa.Mi nafikiri tunarudi nyuma. Serikali iwekeze kwenye haya madude - Electrical Trams gharama za kuendesha ziko chini hata nauli itakuwa chini vinginevyo tuweke mabasi ya umeme.
View attachment 2363279
Mi nafikiri tunarudi nyuma. Serikali iwekeze kwenye haya madude - Electrical Trams gharama za kuendesha ziko chini hata nauli itakuwa chini vinginevyo tuweke mabasi ya umeme.
View attachment 2363279
Mbwa mama yako kilaza weweWe ni mpuuzi unajua masharti ya huo mkopo mbwa wew
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
AustrianWamrudishe Strabarg yule Mjerumani alikuwa hatari
Tram ni ujinga mkubwaMi nafikiri tunarudi nyuma. Serikali iwekeze kwenye haya madude - Electrical Trams gharama za kuendesha ziko chini hata nauli itakuwa chini vinginevyo tuweke mabasi ya umeme.
View attachment 2363279
Ila serikali iliyokabidhiwa Uhuru haikuwekeza katika upimaji wa ardhi...Mbagala ile barabara ni ya miaka ya 90 na haikuandaliwa kwa ajili ya mwendokasi.
Hivyo kabisa waTaalamu wa nchi hiiBarabara ya Mwenge tunaenda kuijenga mara ya tatu sasa ndani ya kipindi kifupi. Tulijenga kwa pesa za maadhimisho ya Uhuru, tukaijenga tena kwa ufadhili wa Japan, tunaenda tena kuijenga kwa pesa za mkopo. Ukosefu wa mipango na watu kutafuta asilimia zao.
Kivipi?Tram ni ujinga mkubwa
NakaziaInaitwa tunakamilisha taratibu ila mwenye tenda yake tayari yupo
Siyo vizuri kumnyamazisha mtoa hoja asiyejitosa mwenyewe kuwa mbadala. Mtoa hoja amependekeza mtu mbadala kwa kuwa huyo mtu ameonyesha tayari uzuri wa kazi aliyoifanya. Mtoa hoja hawezi kujipendekeza mwenyewe kwa kuwa labda hana utaalamu huo. Hivyo anataja nani apewe kazi hiyo kutokana na yale aliyokwisha onyesha. Mbaya ingekuwa kukataa jambo bila kutoa mbadala.Omba tenda hiyo sio tu unashauri wasitumie mtu fulani, huo ni uchawi.