Serikali yatimua wanafunzi UDSM


Tamko la Serikali kutokana na kufukuzwa kwa wanafunzi 300 halisemi lolote kuhusu uchaguzi wa wanafunzi.

Hilo la uchaguzi wa wanafunzi linatumika kama kisingizio na hata wengi hapa mnakimbilia kulitumia kama kigezo.

Sijui ni sheria gani iliyokiukwa na DARUSO iliyosababisha Mkuu wa Chuo kuingilia kati na kusitisha Uchaguzi. Kumbuka DARUSO na katiba zake ni mali za UDSM na mkuu wa Chuo ana final say! Tusikie ni nini kilichotokea kutoka pande zote mbili ndipo tutoe hukumu kama Mukandala kakosea au la.

Majibu yangu yaliyopita yanatokana na hoja aliyoleta YNIM kuwa sababu za mgomo ni kukosekana maji, umeme, calculator na lifti.

La huyu Mganda linalojuliana kwa jamii kupitia vyombo vya habari ni kuwa alitakiwa atoe vitambulisho kadhaa na bado hajafanya hivyo.

Truth of the matter is this, there are few knuckleheads who stir up al this mess. Emotions ran high on other students and their other frustrations were vented through this excuse of Uchaguzi.

Uongozi wa chuo umesema, wale waliosimamishwa watarudishwa Chuoni wakimaliza kesi zao. Wamefukuzwa (simamishwa) kutokana na vurugu ziliotokea tangu February na kusababisha mwanafunzi mmoja kupoteza maisha na makosa ya jinai, including kuvuta bangi, sexual harrasment na kutishia maisha ya wale ambao wasingeunga mkono mgomo.

There are two cases intertwined here and at this stage you can not separate the two.

DARUSO and TAHLISO are shooting themselves in the foot.
 
hata ukikataa, maandishi yako humu hayajafutika na sidhani kama yatafutika.

Mimi sifuti maandishi yangu maana simwogopi yoyote hapa iwe wewe au wale wanausalama wanaonifuatilia hapa day and night. Katika hili nasisitiza kuwa sikumtuma muuaji, fisadi na dikiteta Rwekaza Mukandala kuleta FFU na kupiga wanafunzi wasio na hatia na wale wenye kuandamana kwa amani kupinga kitendo cha kidikiteta cha kuingilia uchaguzi huru wa wanafunzi wa chuo kikuu.
 

Jmushi,

Unakumbuka alichosema Lowasa kuhusu Mwanakijiji?

kawaida yao madikiteta kuwakandamiza wenzao wenye mawazo tofauti.
 

Wanafunzi hawana sababu yoyote ya kuwashawishi wananchi wote kukubaliana nao. Kumbuka kuwa hawa wananchi ndio wanaandamana kila siku kwenye mikutano ya ccm baada yakupewa tisheti na kofia


Umeligundua hili?
 

Good job Kimweri.

Nimeongeza font ili yasomeke vizuri kwa ufasaha.
 

GET out of the MTUNGI ndugu!!u live like a frog who thought the well was the whole world!!

hivyo vitu unavyoviongelea vipo ila sio applocable tanzania!!hiyo kazi ya ukonda inagombaniwa kama hujui..,kila mpiga debe anasubiri apate nafasi naye awe konda!!kwa kifupi kumejaaa kila sehemu!!

kuhusu ubunifu,nchi yangu iliua hiyo department siku mingi tu!!
u sound like JK!!so much promises BUT no plan hence no execution!!that is to say irrelevant!

unaongelea wanafunzi wakiwa shuleni kuanzisha kampuni wakati graduates waanwekewa zengwe.we vipii??

kampuni ya kusafisha ofisi(uuuuuuuuuughhh).vipi we jamaa hizi si ndio tenda ambazo zinafanya walimu wa UD waishi mjini!!au hujui au unajifanya hujui!!
 
Tamko la Serikali kutokana na kufukuzwa kwa wanafunzi 300 halisemi lolote kuhusu uchaguzi wa wanafunzi.

Kumbuka kuwa inasemekana kuwa Mukandala ndiye alikuja na usemi wa kasi, ari, na nguvu mpya. The guy ni fisadi na anajua kweli kutumia maneno. Ameacha kusema hili kwa vile anajua litamfunga.


Hili ni swali inabidi Mukandala alitolee maelezo marefu sana


Get your facts right Rev


Watasema mengi tu kujisafisha baada ya kuona moto umeanza kuwawakia

There are two cases intertwined here and at this stage you can not separate the two.

DARUSO and TAHLISO are shooting themselves in the foot.

It doesnt matter, serikali ya uongozi wa chuo hauna mamlaka ya kuingilia chaguzi au uendeshaji wa vyama vya wanafunzi.
 
Kwa uvivu wa kuruka na kutoangalia juu..Kuku amebakia kuwa kitoweo rahisi kwa mwanadamu na pia kula wadudu kwa kufukua fukua tu na kula anachokipata!Its time we look up!Its the time that we need to use convetional thinking!
We need to use our conceptual thinking and skills!
Sasa hawa watu wasipouliza kuhusu maji watawaletea wananchi maji huko wanakokwenda?Watayajali vipi masikini na kuwapa huduma muhimu za jamii wanazostahili kutokana na kodi zao pamoja na miradi na rasilimali za taifa?
"CHARITY START AT HOME!"..Therefore hawa wanafunzi wataanza kudai haki kuanzia huko vyuoni hadi vijiji!
Je hujui kuwa hawaendi vijijini kwasababu tatizo ni kuwa wao ni product ya mlimani ambako ungozi bora ni ubinafsi,kujitenga na wale unaowaongoza,kutosikiliza vilio vya wale unaowaongoza kwa kuaminini kuwa vitisho na hatari ya kuwaharibia maisha vitawanyamazisha!Kwamba umasikini wao(ambao ni majority ya watanzania) utawafanya wawe makondoo!
Taifa gani wewe unataka tulijenge?
WANA UDSM THIS IS YOUR TIME TO CONTRIBUTE IN THIS HISTORIC MOMENT!TIME WILL BE ON YOUR SIDE!NA KUGRADUATE MTAGRADUATE TU!YOU WILL EVENTUALLY BE VICTORIOUS!WHO CARES WHEN EXCACTLY TO GRADUATE AND THE COUNTRY IS AT THE DEFINING MOMENT?WHO SAID THAT BUSINESS SHOULD BE AS USUAL?MUDA KIDOGO UTAPOTEA BUT ITS WORTHY!THIS TIME VITISHO NA UNYANYASAJI VISIWASABABISHE KUUZA UHURU WENU!IF YOU CAN CHANGE ONE CLASS..THEN YOU CAN CHANGE ONE DOM..AND IF YOU CAN CHANGE ONE DOM..THEN YOU CAN CHANGE THE UNIVERSITY..AND IF YOU CAN CHANGE THE UNIVERSITY THEN YOU CAN CHANGE YOUR COUNTRY!THIS IS YOUR TIME!THIS IS YOUR TIME!GOD BLESS TANZANIA..GOD BLESS AFRICA!
 
na pia wewe unapuuzia yote waliofanya viongozi wa wanafunzi pale waliposhnikiza wanafunzi wenzao kupinga mgomo kwa kutamka kuwa ni mgomo batili. si ndio hao hao unaowageuka?

Hivi hao viongozi wa Daruso unaowasema wewe ni pamoja na Mtatiro na wenzake?

BTW, viongozi wanaomaliza madaraka yao muda wao umepita na kama sio suala la dikiteta, fisadi na muuaji Mukandala kuingilia uchaguzi wao, sasa hivi Daruso wangekuwa na viongozi wapya.
 
Na pia wanafunzi waache kuongopa eti mwanafunzi kauawa, tuwe wakweli..ndio jazba zenyewe ili kuvuta symphathy ya wananchi. Hasa hasa huku kwetu musoma tumewashtukia kuwa nyie ni wanok nok.

Kuna wanafunzi watatu mpaka sasa hawajulikani walipo. Kwa vile Mukandala ameonyesha kutojali maisha ya watoto ambao hawajazaliwa kwa kumpiga mama mjamzito, inabidi sasa hivi kuwe na worst case scenario hapa.

Uongozi wa chuo uwarudishe wanafunzi wote chuoni na sensa ifanyike ili kila mtu awe accountable ndipo itathibitishwa kuwa hakuna aliyekufa katika hili.
 

May GOD bless you Mushi.

Hawa wanafunzi hawana mtu wa kuwasemea. Mukandala anatumia resource zote za serikali kuendesha media kampeni dhidi ya hawa vijana ili kufunika upuuuzi mkubwa aliofanya wa kuingilia chaguzi huru za wanafunzi.

Hapa JF, propaganda zote na majina ya dharau dhidi ya hawa vijana zitakemewa kwa nguvu zote the JF style mpaka hapo huyo muuaji, dikiteta na fisadi (ambaye pia ni mshauri wa serikali ya kifisadi ya Kikwete) atakapoacha kuwaita hao watoto kuwa ni wavuta bangi na akawarudisha chuoni na kuwaruhusu wafanye chaguzi zao bila kubugudhiwa au kuingiliwa.
 
I have developing story on KLH News on this situation.. kazi nzuri BiMdogo. Na ninashukuru kwa msaada wako jana umechangia.
 
 
I have developing story on KLH News on this situation.. kazi nzuri BiMdogo. Na ninashukuru kwa msaada wako jana umechangia.

Asante Mkjj,

Kazi yako imeonekana na only GOD will pay you for this. Hawa vijana hawana mtu wa kuwasemea na Mukandala anaendesha media kampeni kuwatukana kuwa ni wavuta bangi.

Najua kuwa serikali itatumia mabavu kama ilivyotumia kwa wale wananchi wa Buzwagi waliokuwa wanaandamana wiki hii lakini sauti ya vijana hao itasikika hapa.

Asante kwa kutoa nafasi ya kuwasikiliza hao "wavuta bangi"
 

Kimweri,

TUmetoka kumlaumu Nyerere kuwa katufikisha hapa tulipo. Mnapewa alternatives za kusaidia matatizo mnazidi kulalamika na kukebehi!

Hivi kuna shida gani DARUSO kukaa chini na kuunda mbinu bunifu za kuwasaidia wanafunzi wapate kazi za muda?

You are being too dismissive without even making a single effort to try if option presented at the table could work.

Huu ndio what Nyani Ngabu calls "ndivyo tulivyo"!

Hata leo UDSM maji yangekuwa wanatoka na kutiririka kwenye ngazi na Umeme unawaka kufuata hatua za miguu, watu wangeendelea kulalamika!

Ubunifu si lazima uwe graduate school, hata undergrad unaweza kuwa mbunifu mzuri kama unajiamini na una nia ya kuwa mbunifu!

Majibu yako yameshatoa excusess tatu kubwa. Kwanza eti hakuna kazi, pili ubunifu ni kazi ya graduate na tatu maprofesa ni roho korosho.

Excuses, excuses, excuses!just like blaming Nyerere on everything!
 

Rev,

How dou you define absolute poverty? It takes more than 1 mill a year to study at the U. DO your math



Hizo kazi zinapatikana. Taarifa za karibuni zinaonyesha kuwa it takes almost a year kwa graduate wa UD kupata kazi Tanzania. Hivi itakuwaje kwa hao ambao hata shule hawajamaliza?

 

samahani hivi kwa nini hutaki elewa kuwa hiyo option ya kusoma UDSM au chuo chochote kile TANZANIA while working either part-time or fultime kwenye hizo kazi ulizozitaja ni NGUMU??

hivi unahitaji uelezwe mara ngapi kuwa solution ya matatizo ya finance kwa wanafunzi sio as easy as u imagine htem to be?

Bodi inatakiwa ifanye kazi inavyotakiwa.full stop,huo ushauri unaotoa umepokelewa lakini its very short sighted as per TZ situation.
 


I may be a frog in the water hole but you are a grasshopper drawning on the waterhole!

Tukizungumzia Azimio la Arusha na umuhimu wa Kujitegemea, mnalalamika. Mkionyeswha njia za kujitegemea mpate pesa mnalalamika.

Well, welcome to the frog empire and since you are a stubborn grasshopper stuck in the water, you make a perfect dinner for the frogs!
 

Daruso inafanya hivi lakini kwani kazi zenyewe zipo? Kikwete mwenyewe aliahidi kazi milioni moja lakini mpaka leo ameishia kusafiri nje. Daruso wataweza?

Huu ndio what Nyani Ngabu calls "ndivyo tulivyo"!

Hata leo UDSM maji yangekuwa wanatoka na kutiririka kwenye ngazi na Umeme unawaka kufuata hatua za miguu, watu wangeendelea kulalamika!

Hili si kweli,

Chuoni mambo yakiwa mazuri huwa watu wanaendelea na maisha yao wakicheza ikibinda nkoi kama kawa. Muulize Kitila atakwambia.


Ubunifu unafanyika lakini kumbuka kuwa hao wanafunzi hawawezi kujiajiri wenyewe wakati wakiwa shuleni kama hakuna mtu wa kuwaajiri.

kazi zenyewe Dar ni za shida, hilo purukushani na kusumbuana na wakazi mamilioni wa Dar kutafuta kazi litawezekana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…