Rev. Kishoka
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 4,526
- 1,540
It doesnt matter, serikali ya uongozi wa chuo hauna mamlaka ya kuingilia chaguzi au uendeshaji wa vyama vya wanafunzi.
Who funds students unions? who gives the student unions permision to exist? who reviews Student union charters and bylaws before they are allowed to be used?
University Administration!
samahani hivi kwa nini hutaki elewa kuwa hiyo option ya kusoma UDSM au chuo chochote kile TANZANIA while working either part-time or fultime kwenye hizo kazi ulizozitaja ni NGUMU??
hivi unahitaji uelezwe mara ngapi kuwa solution ya matatizo ya finance kwa wanafunzi sio as easy as u imagine htem to be?
Bodi inatakiwa ifanye kazi inavyotakiwa.full stop,huo ushauri unaotoa umepokelewa lakini its very short sighted as per TZ situation.
Who funds students unions? who gives the student unions permision to exist? who reviews Student union charters and bylaws before they are allowed to be used?
University Administration!
Hivi Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaam kina wafanyakazi wangapi Ukiondoa wahadhiri?
I may be a frog in the wate hole but you are a grasshopper drawning on the waterhole!
Tukizungumzia Azimio la Arusha na umuhimu wa Kujitegemea, mnalalamika. Mkionyeswha njia za kujitegemea mpate pesa mnalalamika.
Well, welcome to the frog empire and since you are a stubborn grasshopper stuck in the water, you make a perfect dinner for the frogs!
...very interesting! hii thread imekuwa complicated sana by now!!
...Rev, slowdown kidogo! hivi huoni kama huyo chura ana advantage? unazidi kuupanua huu mjadala....fairness, kushika mpini kwa serikali ya chuo si sababu ya ku-prune watu kikandamizi!!.
MWK,
hiyo media spin ya Mukandala ndio matunda ya kumpa Mark Penn a-run university!!.
Bi Mdogo,
Opportunity moja kubwa ambayo DARUSO wanapoteza ni kuleta mfumo bora wa elimu. Naongelea hili kwa ujumla ili nijibu maswali yako na ya Kimweri kuwa hakuna nafasi kwa mwanafunzi kufanya kazi akiwa shule.
DARUSO wana nguvu kubwa sana kuweza kushinikiza kubadilishwa kwa mitaala na kuhakikisha kuwa Elimu ya UDSM, inawapa fursa wanafunzi kushiriki katika shughuli za kujenga Taifa na kujipatia kipato.
Mnalalamika ooh, kazi za Ukonda ni ngumu kupatikana. Je DARUSO walikaa chini na kubuni shughuli na kazi ambazo wanafunzi wanaeza kuzifanya? Je kungekuwa na shida gani kwa DARUSO kwenda kwa Mwaibula wa Madaladala Dar na kuomba kuwa na program maalum ya kutoa nafasi za kazi kwa wanafunzi wawe Makonda au makarani?
Wewe si umesoma Marekani? Umefanya kazi kusafisha vyumba, choo, jikoni, Library, IT, maintenance, McDonald, Nursing home na kwingine kwingi including Target, Walmart, Sallys beauty na ile kazi ya telemarket.
Je uliwezaje kupata nafasi kwenda shule na kufanya kazi hizo na hata ukahitimu? Naamini ulipokwenda kufanya kazi, hukuenda kwa nyogo au makidai ukiwa umebenua pua na kifua kwa kujiita msomi.
Kwa nini unafikiri UDSM inashindwa kuwa gurudumu la mabadiliko ya jamii? Ni kutokana na kuwa tegemezi na kushindwa kujituma.
Nimetoa alternatives kadhaa za kumsaidia huyu Mwanafunzi Masikini, lakini majibu yamekuwa ni ya "visingizio" na si tathmini na kusema, well, this is possible. Na especially kwako wewe Dada yangu ambaye unakwenda shule huku Marekani na kupiga janta, nilitegemea ungetumia mazingira uliyoko na kujiuliza ni vipi tunaweza badilisha mazingira ya Tanzania ili mwanafunzi wa Chuo aweze kusoma na kuwa kibarua kujipatia pato la ziada.
Au ni kwa kuwa Reverend mzalendo mwenzetu kalisema, basi halina nguvu sana ikiwa wafadhili hawajalisema?
There is a need to be creative and use all resources to our advantage. We have not made an attempt to take advantage of UDSm competetive advantage, but we have succumb to surrendering and blame Serikali and System.
Angalia Mchaga na Mpemba wanavyosakanya pesa. Nenda East and Central utakuta Mchaga anatengeneza pesa. Kigezo ni shida za nyumbani, uhaba wa ardhi migombani, hivyo anajituma kwenda kutumia maarifa kujipatia pato. Wanapoanza kuneemeka, tunawaita Mangi na Mpemba ni waroho wa pesa hata sauti ya mkasi hushituka.
Why doesn't our society change to be creative and competitive and stop depending so much to the Serikali au wafadhili? Huu utegemezi ndio unaolea unyonyaji na ufisadi for your information!
La mwisho, kwa nini DARUSO hawaku-insist on dialogue mpaka kieleweke? Mukandala alipokataa, walikwenda wizarani? je waliita bodi ya regents wa UDSM kulizungumzia? Je walikwenda kwa Waziri Mkuu au Ikulu kutoa kilio kabla hawajaanza mgomo na fujo?

Si kweli kwamba nimesema kuwa hakuna nafasi kwa wanafunzi kufanya kazi wakiwa shuleni. Nimesema kuwa kazi hazipo Dar na Tanzania kwa ujumla ili wanafunzi wafanye.
So far hili linafanyika kila mwaka according to viongozi wa wanafunzi waliopita - muulize Kitila na Zitto
Hili pia sikweli, mimi sijalalamikia kazi ila nimesema kuwa hata hizo kazi za ukonda na mengine hakuna. Umesahau kuwa kuna wakazi mamilioni Dar hawana hata hiyo kazi ya ukonda?
Nope sijaisahau hata chembe. Naifahamu sana, nafahamu ukiritimba, mizengwe, ubinafsi, wivu, uhujumu na hata ufisadi. Lakini penye nia pana njia. Ndiyo maana nimekupa mfano wa Mchaga kuchacharika!Rev, hivi umeisahau Tanzania mapema hivi?
Huko kote nimefanya na wadogo zangu wanafanya lakini je tanzania kuna hizo kazi unazozitaja ili wasomi wafanye? Unaijua kasheshe ya kupata hata kazi ya library pale mlimani?
Umetoa alternative kama nzuri sana lakini hali ya Tanzania hizo kazi hata kwa waliomaliza ni shida itakuwaje kwa walioko shule?
Yote haya yanafahamika ila kumbuka kuwa unaongelea Tanzania. Au unataka watoto waache shule wawe maustler
So far, elimu ni kitu cha kutegemea toka serikalini. Hakuna serikali yoyote iliyofanikiwa duniani bila kusomesha vijana wake.
Daruso waliomba haya yote kabla ya kufikia mgomo. Kumbuka kuwa ilichukua karibu wiki moja toka fisadi, dikiteta na muuaji Mukandala aingilie uchaguzi mpaka wanafunzi walipoamua kugoma.
Yeye alikataa kabisa kusikiliza wanafunzi kwa vile anajiona yeye ni Prof na nimshauri wa Kikwete so inabidi anachotaka yeye ndicho kifanyike.
So it means we are not creative enough to create jobs. We have labor market but no jobs. Is it the sole responsibility of Serikali or society as whole? What is society doing to be creative in creating jobs? What alternatives or programs are being taken to make sure that we have jobs through sole propriatorship, private entities and communities?
How do they measure progress? are there any actionable items that have been implemented? if not whose responsibility is to make sure that these plans are executed and guarantee follow up?
I gave a suggestion on Ukonda, mkaniambia I have to be realistic. Sasa my take on this is that kama mimi ni mwanafunzi wa Chuo, I have an advantage kuliko mtu wa darasa la saba. Iweje nishindwe kupata kazi ya mtu wa darasa la saba? Ninaposema mnalalamika, do not take it personally, it not about MwK as a person, but I am talking about UDSM-DARUSO. Yes Dar kuna watu milioni karibu 4, kila mtu ni kuwa mjanja, je ni ubunifu gani unatumika na wasomi wetu kujitafutia kazi?
Nope sijaisahau hata chembe. Naifahamu sana, nafahamu ukiritimba, mizengwe, ubinafsi, wivu, uhujumu na hata ufisadi. Lakini penye nia pana njia. Ndiyo maana nimekupa mfano wa Mchaga kuchacharika!
Huko kote wanalipa minimum wage, ulipofanya kazi huko hukuleta ngebe kudai wewe ni graduate au msomi. Ulifanya kazi kwa furaha ukapata pesa zako kukidhi mahitaji. Sitegemei na si kusudio langu kusema Tanzania iwe na Target au Walmart, lakini, je kazi zilizopo wanafunzi wa UDSM wako tayari kwenda kuzifanya hata kama ni kulipwa KCC? Ndio maana nimetumia Ukonda, Bamedi na shughuli nyingine "minion jobs" kama alternatives!
Again we are talking about job creativity. Sasa DARUSO katika plan zao wanazungumza vipi na Serikali, Mashirika, Viwanda, Taasisi na makampuni binafsi kuhusu job placement na creation of jobs?
Nope I do not condone hustling! Hayo ni ya Mponjoli!
Argument si kuwa Serikali isiwe na sera za elimu au kupata Taifa linaloelimika. Suala ni gharama za elimu ni jukumu la nani? Mazingira ya sasa si ya mwaka 1970 wakati wale walikuwa huko walisomwshwa Bure.
Mfumo wa sasa unasema, ukiwa na uwezo kujilipia, njoo, ukiwa huna uwezo wa mali chukua mkopo! kama huna uwezo, je una-qualification za merits kama Academic supremacy au absolute poverty kuwa huna uwezo? Serikali inatoa mikopo, ni lazima irudishwe, sasa kwa nini iwe shida na kazi kuomba mkopo na kufanya commitment kuwa utaulipa?
Tena kwa yule mwenye deni, ndiye atakaye kuwa na jitihada kubwa sana kusoma ili apate kazi alipe deni. Hii ndilo nililokuwa naongelea kuhusu rolling back fiscal responsibility!
Wewe hapa Marekani si umesoma kwa vyote scholarship na student loans, je ulipomaliza shule si umetafuta kazi ili uanze kulipa deni la student loan? sasa kwa nini Tanzania iwe ni vigumu?
You are making assumptions based on one side of story. You have made the issue personal and made your own conclusion kuwa whatever the case Mukandala is evil and is wrong! Hapa siwezi kukupa jibu! Nanawa mikono!
Kuonyeshwa njia za kujitegemea bila means za impications ni bure mchungaji!I may be a frog in the water hole but you are a grasshopper drawning on the waterhole!
Tukizungumzia Azimio la Arusha na umuhimu wa Kujitegemea, mnalalamika. Mkionyeswha njia za kujitegemea mpate pesa mnalalamika.
Well, welcome to the frog empire and since you are a stubborn grasshopper stuck in the water, you make a perfect dinner for the frogs!
Sasa kama kazi ya ukonda wakichukua hao wasomi hata kama ni kwa part time..na hao walalahoi watafanya kazi gani?kwani we hujui kuwa wana majukumu ya kifamilia na watoto wa kuwapeleka shule?Bi Mdogo,
Opportunity moja kubwa ambayo DARUSO wanapoteza ni kuleta mfumo bora wa elimu. Naongelea hili kwa ujumla ili nijibu maswali yako na ya Kimweri kuwa hakuna nafasi kwa mwanafunzi kufanya kazi akiwa shule.
DARUSO wana nguvu kubwa sana kuweza kushinikiza kubadilishwa kwa mitaala na kuhakikisha kuwa Elimu ya UDSM, inawapa fursa wanafunzi kushiriki katika shughuli za kujenga Taifa na kujipatia kipato.
Mnalalamika ooh, kazi za Ukonda ni ngumu kupatikana. Je DARUSO walikaa chini na kubuni shughuli na kazi ambazo wanafunzi wanaeza kuzifanya? Je kungekuwa na shida gani kwa DARUSO kwenda kwa Mwaibula wa Madaladala Dar na kuomba kuwa na program maalum ya kutoa nafasi za kazi kwa wanafunzi wawe Makonda au makarani?
Wewe si umesoma Marekani? Umefanya kazi kusafisha vyumba, choo, jikoni, Library, IT, maintenance, McDonald, Nursing home na kwingine kwingi including Target, Walmart, Sallys beauty na ile kazi ya telemarket.
Je uliwezaje kupata nafasi kwenda shule na kufanya kazi hizo na hata ukahitimu? Naamini ulipokwenda kufanya kazi, hukuenda kwa nyogo au makidai ukiwa umebenua pua na kifua kwa kujiita msomi.
Kwa nini unafikiri UDSM inashindwa kuwa gurudumu la mabadiliko ya jamii? Ni kutokana na kuwa tegemezi na kushindwa kujituma.
Nimetoa alternatives kadhaa za kumsaidia huyu Mwanafunzi Masikini, lakini majibu yamekuwa ni ya "visingizio" na si tathmini na kusema, well, this is possible. Na especially kwako wewe Dada yangu ambaye unakwenda shule huku Marekani na kupiga janta, nilitegemea ungetumia mazingira uliyoko na kujiuliza ni vipi tunaweza badilisha mazingira ya Tanzania ili mwanafunzi wa Chuo aweze kusoma na kuwa kibarua kujipatia pato la ziada.
Au ni kwa kuwa Reverend mzalendo mwenzetu kalisema, basi halina nguvu sana ikiwa wafadhili hawajalisema?
There is a need to be creative and use all resources to our advantage. We have not made an attempt to take advantage of UDSm competetive advantage, but we have succumb to surrendering and blame Serikali and System.
Angalia Mchaga na Mpemba wanavyosakanya pesa. Nenda East and Central utakuta Mchaga anatengeneza pesa. Kigezo ni shida za nyumbani, uhaba wa ardhi migombani, hivyo anajituma kwenda kutumia maarifa kujipatia pato. Wanapoanza kuneemeka, tunawaita Mangi na Mpemba ni waroho wa pesa hata sauti ya mkasi hushituka.
Why doesn't our society change to be creative and competitive and stop depending so much to the Serikali au wafadhili? Huu utegemezi ndio unaolea unyonyaji na ufisadi for your information!
La mwisho, kwa nini DARUSO hawaku-insist on dialogue mpaka kieleweke? Mukandala alipokataa, walikwenda wizarani? je waliita bodi ya regents wa UDSM kulizungumzia? Je walikwenda kwa Waziri Mkuu au Ikulu kutoa kilio kabla hawajaanza mgomo na fujo?
Rev,
nilikuwa naongelea minds! unajibu la kila kinachokuja mbele yako, which is a good thing!.....no wonder kibabu (rip) kilitaka kukukalisha kitako!!
swali...hivi kama ungekuwa unaandika paper juu ya matatizo ya kila aina ya wanafunzi wa mlimani na vyuo vingine(sio juu ya migomo tu), kwamba matatizo like "matatizo loaded" loaded...ni nini ingekuwa conclusion yako, yaani iwe ndio problems solver? na uliza hivi kwasababu una mawazo mazuri, lakini yapo scattered, na some unrealistic!! put it together, ni nini hasa kifanyike...??
Kuonyeshwa njia za kujitegemea bila means za impications ni bure mchungaji!
Ni kama pambio tu za kuomba Yesu arudi ili matatizo yetu nayo yaishe!
Ni utupu wa maneno na propaganda bila vitendo halis!i na ukweli wa kuyumnika!
Kauli za kujitegemea bila mwongozo bora ni ndoto za mchana na matumaini ya kufikirika!
Wamarekani huwa wana usemi wanautumia.."don't say you support education,show me the account"
Kwa kifupi ni kwamba hata bajeti huwa haiweki kipaumbele kwenye masuala ya elimu,haionyeshi kama kweli kuna kipaumbele kwenye elimu bora kwa vijana wetu! badala yake ni ununuzi wa mgari ya kifahari kwa viongozi na maisha bora na njia bora za kukamata mshiko kwa kina chenge na wateule wengine wa viwango vya juu!
Sasa kama kazi ya ukonda wakichukua hao wasomi hata kama ni kwa part time..na hao walalahoi watafanya kazi gani?kwani we hujui kuwa wana majukumu ya kifamilia na watoto wa kuwapeleka shule?
You can never compare the availabity of jobs in the US vs Tanzania..or at least the nature and type of it!
Ni kweli kuwa wanaweza kujipatia kazi za part time kusapoti elimu yao..lakini ni hadi hapo patakapokuwa na progam endelezi zenye kujenga mazingira ya upatikanaji wa kazi hizo!Watu wa kawaida hawana hata kazi ya kuzilisha familia zao na wewe unataka wananfunzi waende wakawanyanganye tonge midomoni mwao!
I think you should come with the real solutions kwasababu sikubaliani na baadhi ya views zako kwenye hili!
Huyu ndiye Rev Kishoka anayeogopa migomo na maandamano lakini wakati huo huo kwenye signature yake hapa anasema:
"Camerlengo
Plu Camerlenghi- Revolutionary Right Reverend Kishoka
"Any existence deprived of freedom is a kind of death." Gen. Michel Aoun
'Who comes to give greeting to the Inkosi-kaas? Who would taste her kiss, whereof the fruit is death? I, the Woodpecker, I, the Slaughterer, I the Swiftfooted! I, Umslopogaas!"
Je, anafanana na Chama Cha Mapinduzi kinachoogopa Mapinduzi? Au ufisadi umemlevya na sasa anafikiri kama mwanachama wa Chama Cha Mafisadi?
Asha