Serikali yatoa ufafanuzi kuhusu Tanzania kupanga kununua umeme nchini Ethiopia

  1. Stiglers na Ethiopia wapi mbali zaidi?
  2. Mabwawa ya Nyumba ya Mungu, Hale na Pangani yako North, je yanapeleka wapi umeme?
Ni kweli nchi ina umeme wa kutosha lakini haina maana kwasababu umeme upo wa kutosha basi unaweza kuupeleka popote pasipo kufanya tathmini!

Iko hivi umeme kutoka vyanzo vikuu vya umeme wa uhakika Rufiji na mikoa mingine ukitaka kuusafirisha kwenda mikoa ya kaskazini unakuwa unazungumzia mradi wa wastani wa 800km ~900Km

Gharama za kusafirisha umeme kwa umbali huo ni kubwa mno ukilinganisha na kuuchukulia hapo kenya .
Wanaposema umeme wa Ethiopia haina maana uko huko Ethiopia! Ni uko hapo jilani kenya wastani wa km 250km~300km tu

Hivyo ukichukulia gharama za kuusafirisha umeme kwa wastani 50mil kwa kila span moja ( nguzo moja hadi nyingine) hapa tutazungumzia wastani wa span elf 8000 hadi 9000 endapo utaamua kuutoa mikoa ya rufiji!

Soma Pia: Rais Samia: Serikali itanunua Umeme nje maalum kwa Mikoa ya Kaskazini

Mbali na gharama hizo mradi mkubwa kama huo unahitaji kulipa watu fidia na kuchepusha miundombinu itayoingiliana hapo katikati ya mradi!

Miradi ya mabomba ya mafuta yaliyopita ardhini yatalazimisha kubadilisha span badala ya kupitisha umeme juu ya bomba ushushwe chini (underground) ili kuepusha muingiliano wa frequency za umeme na zile za bomba la mafuta! Yote hayo yanapaisha gharama za mradi!

Muda wa kuujenga mradi mkubwa kama huo unaweza kuchukua miaka siyo chini ya mitano!

Upotevu wa umeme hapo katikati (power losses) kwa umbali huo ni Mkubwa ukilinganisha na faida utayovuna ukiuufikisha mikoa husika ya kaskazini!

Yote tisa hata kama umeme upo lakini kama jilani ana bei rahisi kuliko za nchi yetu kwanini kujichosha ilihali kwa jilani anao umeme karibu na ni bei nafuu zaidi?

Ambao hawajaelewa naomba kutoa mfano huu!....
 
Aise huu ni upumbavu wa kiwango cha lami....hii inchi imeshatuona sisi mazuzu.

Ambao hawajaelewa naomba kutoa mfano huu!
 
Kutoka Rufiji hadi kaskazini mwa TZ na kutoka Ethiopia mpaka kaskazini mwa TZ wapi kuna umbali mrefu?
Umeme wa Ethiopia haupotei njiani?
Kipi bora, kuimarisha miundombinu ya ushafirishaji Umeme ili usiendelee kuvuja au tuendelee kuwa Wateja wa Ethiopia mpaka Yesu atakaporudi?

cc Gerson Msigwa

Anyway! Kupanga Ni kuchagua (unaweza kuchagua hasara au faida)
 
Naam kama kawa kama dawa, Wazee WA UFAFANUZI wameshatoa UFAFANUZI kuwa umbali wa kutoka Ethiopia Hadi Same ni mfupi kuliko Mwalimu Nyerere Hydro Power pale Rufiji Hadi Same

Soma Pia: Rais Samia: Serikali itanunua Umeme nje maalum kwa Mikoa ya Kaskazini
View attachment 3264882View attachment 3264881
Maswali kwenu wataalamu!
1. Nini kinatofautisha umeme unaozalishwa kwa maji Ethiopia uwe wa bei ya chini halafu umeme wetu wa maji uwe wa bei kubwa?

2. Wataalamu wa Ramani ya Afrika, wapi ni mbali kati ya kutoka Ethiopia kupita Kenya mpaka Kaskazini mwa Tanzania, na kutoka Kusini mwa Tanzania mpaka Kaskazini mwa Tanzania?

3. Umeme utakaotoka Ethiopia kuja Tanzania wenyewe haupotei njiani?

4. Umeme utanunuliwa Ethiopia kwa bei ya chini, je utauzwa kwa wananchi wa Kaskazini kwa bei ya chini pia?
 
Dah nimesikitika sana na uongo wa Greyson....

kwamba kusafirisha 100MW, almost 80MW zinapotea njiani unaofika ni 20MW.

Duh hiv hii ni power system ya namna gani hapa nchini, kwa umbali gani huo?...Aise Hii inchi inatuona mazuzu sana.
Msisitizo wangu bado upo palepale, tunahitaji kuhuisha elimu yetu ili ilete tija. Sijajua kama Wataalam wa kichina, uturuki, ulaya,U.S.A nao wangekuwa wana-opt mambo kwa stahili hii tungelikuwa na vumbuzi kubwa kama za sasa! Lakini wenzetu wana-invest na kujikita kwenye R&D. Yaani jambo tungelivalia njuga kupambana na hii changamoto ya upotevu pengine we could make a great milestone kwenye technolojia na hata kuiuza huko Duniani. Kila leo tunaona versions nyingi tuu za magari. Pamoja na kwamba ni biashara lakini wenzetu wanapambana kuondoa makosa ya awali na kuboresha zaidi. Hata kwenye simu, TV, Fridges n.k....
 
Vipi kafulila anasemaje kuhusu hili? Leo viongozi wote wanasifia na kutetea hili....Amini nawaambia Atakuja raisi mwingine atasema ni upuuzi kununua umeme kutoka nchi nyingine utashangaa wakina msigwa,Kafulila na Tulia nao wanampongeza wakati huo...nchi ya wanafiki
 
Tanzania yangu kuna wakati tunafanya mambo kama nchi inaisha kesho! Kwa hakika neno la Gerson na Rais Samia kuna tofuati kubwa kabsa.
1741549447268.jpg

1741549451398.jpg

Mungu ibariki Tanzania! Usiwabariki Viongozi wake!
 
Ni kweli nchi ina umeme wa kutosha lakini haina maana kwasababu umeme upo wa kutosha basi unaweza kuupeleka popote pasipo kufanya tathmini!

Iko hivi umeme kutoka vyanzo vikuu vya umeme wa uhakika Rufiji na mikoa mingine ukitaka kuusafirisha kwenda mikoa ya kaskazini unakuwa unazungumzia mradi wa wastani wa 800km ~900Km

Gharama za kusafirisha umeme kwa umbali huo ni kubwa mno ukilinganisha na kuuchukulia hapo kenya .
Wanaposema umeme wa Ethiopia haina maana uko huko Ethiopia! Ni uko hapo jilani kenya wastani wa km 250km~300km tu

Hivyo ukichukulia gharama za kuusafirisha umeme kwa wastani 50mil kwa kila span moja ( nguzo moja hadi nyingine) hapa tutazungumzia wastani wa span elf 8000 hadi 9000 endapo utaamua kuutoa mikoa ya rufiji!

Soma Pia: Rais Samia: Serikali itanunua Umeme nje maalum kwa Mikoa ya Kaskazini

Mbali na gharama hizo mradi mkubwa kama huo unahitaji kulipa watu fidia na kuchepusha miundombinu itayoingiliana hapo katikati ya mradi!

Miradi ya mabomba ya mafuta yaliyopita ardhini yatalazimisha kubadilisha span badala ya kupitisha umeme juu ya bomba ushushwe chini (underground) ili kuepusha muingiliano wa frequency za umeme na zile za bomba la mafuta! Yote hayo yanapaisha gharama za mradi!

Muda wa kuujenga mradi mkubwa kama huo unaweza kuchukua miaka siyo chini ya mitano!

Upotevu wa umeme hapo katikati (power losses) kwa umbali huo ni Mkubwa ukilinganisha na faida utayovuna ukiuufikisha mikoa husika ya kaskazini!

Yote tisa hata kama umeme upo lakini kama jilani ana bei rahisi kuliko za nchi yetu kwanini kujichosha ilihali kwa jilani anao umeme karibu na ni bei nafuu zaidi?

Ambao hawajaelewa naomba kutoa mfano huu!
Mkuu acha usenge, hivi unatuona wote ni mazezeta siyo. Kwani huu umeme tunafunga miundo mbinu mipya? Si tunapeleka grid ya taifa na utaratibu unaendelea
 
Kwa heri....unajua gharama kusafirisha 33KV to km 600? Acheni fani zacwatu sio siasa hiii....kwa heriii
 
Back
Top Bottom