Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Nikisoma Ufafanuzi kama huu ndio naona kiwango kidogo cha Elimu ya Tanzania kama taasisi kubwa kama hii wanatoa sababu hata mtoto hawezi kutoa jua hapo Shule yao ni mashaka mashaka sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siasa kama kawaida.Kumbuka tuna vipaumvele vingi mkuu miradi ipo fund hakuna......ingia website Tanesco angalia procurement za kila mwaka za expansion grid taifa utaona.....mkuu fund...na vipaumbele mambo mengi pesa....nehiii....
Hapo Samia kakunali kushaurikaaaSiasa kama kawaida.
Ushauri,Ndugu zangu Watanzania,
Serikali yetu tukufu chini ya uongozi mahili,imara ,madhubuti ,shupavu na wenye kuleta matumaini kwa watu wa Dkt Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.
Kupitia msemaji mkuu wa serikali Mheshimiwa Gerson Msigwa Imetoa ufafanuzi wa kina wa sababu ya kununua umeme Nje ya Nchi kwa ajili ya kanda ya kaskazini.
Soma hapa👎View attachment 3264895View attachment 3264896
Siwezi kusoma upumbavu kama huu, awamu hii Tanzania ina Serikali kokoloNaam kama kawa kama dawa, Wazee WA UFAFANUZI wameshatoa UFAFANUZI kuwa umbali wa kutoka Ethiopia Hadi Same ni mfupi kuliko Mwalimu Nyerere Hydro Power pale Rufiji Hadi Same
Soma Pia: Rais Samia: Serikali itanunua Umeme nje maalum kwa Mikoa ya Kaskazini
View attachment 3264882View attachment 3264881
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Moderator naomba msiunganishe huu UFAFANUZI.... Ili tuweze kuufafanunua vizuri huu UFAFANUZI.
uongo na ujinga hautaisha nchi hii. Tunasema tuna umeme wa kutosha, kwanini tununue? Ndiyo kama tulinunua mwanzo ni kwa ajili hatukuwa na umeme wa kutosha. Na sasa bwawa la Nyerere lipo, bado mnaendelea kutudanganya?Ndugu zangu Watanzania,
Serikali yetu tukufu chini ya uongozi mahili,imara ,madhubuti ,shupavu na wenye kuleta matumaini kwa watu wa Dkt Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.
Kupitia msemaji mkuu wa serikali Mheshimiwa Gerson Msigwa Imetoa ufafanuzi wa kina wa sababu ya kununua umeme Nje ya Nchi kwa ajili ya kanda ya kaskazini.
Soma hapa👎View attachment 3264895View attachment 3264896
More of the nonsense ni kutokuwa na strategy inayoeleweka.uongo na ujinga hautaisha nchi hii. Tunasema tuna umeme wa kutosha, kwanini tununue? Ndiyo kama tulinunua mwanzo ni kwa ajili hatukuwa na umeme wa kutosha. Na sasa bwawa la Nyerere lipo, bado mnaendelea kutudanganya?
Naam kama kawa kama dawa, Wazee WA UFAFANUZI wameshatoa UFAFANUZI kuwa umbali wa kutoka Ethiopia Hadi Same ni mfupi kuliko Mwalimu Nyerere Hydro Power pale Rufiji Hadi Same
Soma Pia: Rais Samia: Serikali itanunua Umeme nje maalum kwa Mikoa ya Kaskazini
View attachment 3264882View attachment 3264881
Bado maelezo hayajawa wazi!Naam kama kawa kama dawa, Wazee WA UFAFANUZI wameshatoa UFAFANUZI kuwa umbali wa kutoka Ethiopia Hadi Same ni mfupi kuliko Mwalimu Nyerere Hydro Power pale Rufiji Hadi Same
Soma Pia: Rais Samia: Serikali itanunua Umeme nje maalum kwa Mikoa ya Kaskazini
View attachment 3264882View attachment 3264881
Labda umeme umekuwa nyaya za simu shirika la TTCLBado maelezo hayajawa wazi!
Tanzania inanunua umeme kutoka Ethiopia kupitia Kenya.
Hapohapo ina mpango wa kuziuzia Kenya na Uganda umeme toka Rufiji.
Yaani umeme wa kutoka Rufiji utaenda Kenya kupitia kanda ya Kaskazini inayonunuliwa umeme toka Ethiopia. Bado sijaelewa hapa lazima yatolewe maelezo na ufafanuzi zaidi.
Pia kiwanda cha sukari cha tpc kinazalisha umeme mwingi tu ila urasimu ni mkubwa sana wa TANESCO .Kuna Nyumba Ya Mungu, kuna Hale na Kuna Pangani, yote yako kanda ya kaskazini..... Ufafanuzi umekua mzuri sana. Kongole kwa Mfafanuzi
Do ufafanuzi, umeingia doa baada ya mfafanuzi kutoenda sawa na mdundo wa ufafanuzi.Naam kama kawa kama dawa, Wazee WA UFAFANUZI wameshatoa UFAFANUZI kuwa umbali wa kutoka Ethiopia Hadi Same ni mfupi kuliko Mwalimu Nyerere Hydro Power pale Rufiji Hadi Same
Soma Pia: Rais Samia: Serikali itanunua Umeme nje maalum kwa Mikoa ya Kaskazini
View attachment 3264882View attachment 3264881