Serikali yatoa ufafanuzi kuhusu Tanzania kupanga kununua umeme nchini Ethiopia

Serikali yatoa ufafanuzi kuhusu Tanzania kupanga kununua umeme nchini Ethiopia

Nikisoma Ufafanuzi kama huu ndio naona kiwango kidogo cha Elimu ya Tanzania kama taasisi kubwa kama hii wanatoa sababu hata mtoto hawezi kutoa jua hapo Shule yao ni mashaka mashaka sana.
 
Kumbuka tuna vipaumvele vingi mkuu miradi ipo fund hakuna......ingia website Tanesco angalia procurement za kila mwaka za expansion grid taifa utaona.....mkuu fund...na vipaumbele mambo mengi pesa....nehiii....
Siasa kama kawaida.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Serikali yetu tukufu chini ya uongozi mahili,imara ,madhubuti ,shupavu na wenye kuleta matumaini kwa watu wa Dkt Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.

Kupitia msemaji mkuu wa serikali Mheshimiwa Gerson Msigwa Imetoa ufafanuzi wa kina wa sababu ya kununua umeme Nje ya Nchi kwa ajili ya kanda ya kaskazini.

Soma hapa👎View attachment 3264895View attachment 3264896
Ushauri,
Unaweza kua na point nzuri sana kuisemea serikali lakini mbwembwe zinapozidi unaharibu,

Watu wanaishia kusoma mbwembwe mistari miwili wanaacha point za msingi chini,

Hiki ulichoanza nacho ni kituko;

"Serikali yetu tukufu chini ya uongozi mahili,imara ,madhubuti ,shupavu na wenye kuleta matumaini kwa watu wa Dkt Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita,nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge."

Ni ushauri tu,
Jirekebishe
 
Umeme huo! Umeme huo! Umeme huo!
 
Kuna watu watakuwa wakipokea kila unit sh 50.

utasikia matokeo ya CAG huko 2030 wakati hata hawapo.

Tumefanya kwa hasara kubwa.
20241121_140530.jpg
 
Ndugu zangu Watanzania,

Serikali yetu tukufu chini ya uongozi mahili,imara ,madhubuti ,shupavu na wenye kuleta matumaini kwa watu wa Dkt Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.

Kupitia msemaji mkuu wa serikali Mheshimiwa Gerson Msigwa Imetoa ufafanuzi wa kina wa sababu ya kununua umeme Nje ya Nchi kwa ajili ya kanda ya kaskazini.

Soma hapa👎View attachment 3264895View attachment 3264896
uongo na ujinga hautaisha nchi hii. Tunasema tuna umeme wa kutosha, kwanini tununue? Ndiyo kama tulinunua mwanzo ni kwa ajili hatukuwa na umeme wa kutosha. Na sasa bwawa la Nyerere lipo, bado mnaendelea kutudanganya?
 
More of the nonsense ni kutokuwa na strategy inayoeleweka.

Uwezi kuamka asubuhi moja na kusema ukimaliza mradi fulani utakuwa self sustainable, only one year down the line kusema utanunua umeme wakati una surplus ya uzalishaji.

Uwezi miaka miwili nyuma kusema ufutiwe madeni ya shirika ya trillion kama tatu, to ease liquidity na cash flow ya shirika. Ili usumbaze ubaki na hela ya kusambaza kwa kasi.

Uwezi kuomba miaka miwili nyuma kuomba kuongeza kupandisha gharama ya kuunganishia watu umeme (ilhali demand kubwa) upewe kibali ili uongezd kasi ya kusambaza miundombinu na kukubaliwa.

Uwezi kuomba ndani ya miaka miwili upandishe unit costs za umeme ili uongeze revenue kwa makusudi ya kusambaza umeme halafu leo huna hiyo kasi.

Umefutiwa madeni ili kukupa nafuu ya liquidity upate hela ya miradi ya kusambaza umeme.

Umejengewa chanzo cha megawatt kubwa na sub stations kadhaa ili usambaze umeme.

Umeruhusiwa kuongeza unit cost ili mapato yaongezeke uongeze speed ya kusambaza umeme.

Umeruhusiwa kuongeza ila ya kuunganisha umeme ili mapato yaongezeke, upate speed ya kuwaunganishia watu.

Serikali inakopa na kwa miradi ya REA ili kuongeza kasi ya kuwaunganishia watu umeme.

Halafu leo unasema unanunua umeme kwa sababu uwezi fikia watu kwa speed.

Upumbavu wa Tanzania unatutosha wenyewe.

Sijapata kuona nchi inayoongozwa na mazuzu.

My god the nonsense.

Kuna mtu kabisa na akili zake timamu anadirika kumtusi Magufuli; kwa hilo pambo tuliloliweka Ikulu.

Nchi ya hovyo mno.

Raisi wa hovyo mno, uulizi jamani mbona nimewabeba sana; tumefikaje tena hapa. Wanamuwekea mataahira tu kama washauri wake wa uchumi na biashara, aropoke hovyo,
 
Naam kama kawa kama dawa, Wazee WA UFAFANUZI wameshatoa UFAFANUZI kuwa umbali wa kutoka Ethiopia Hadi Same ni mfupi kuliko Mwalimu Nyerere Hydro Power pale Rufiji Hadi Same

Soma Pia: Rais Samia: Serikali itanunua Umeme nje maalum kwa Mikoa ya Kaskazini
View attachment 3264882View attachment 3264881

Yaani umeme wa bwawa la Ethiopia unafika Tanzania nchi ambayo iko mbali sana wakati umeme wa Tanzania haufiki sehemu zingine za Tanzania😂😂🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️
 
Naam kama kawa kama dawa, Wazee WA UFAFANUZI wameshatoa UFAFANUZI kuwa umbali wa kutoka Ethiopia Hadi Same ni mfupi kuliko Mwalimu Nyerere Hydro Power pale Rufiji Hadi Same

Soma Pia: Rais Samia: Serikali itanunua Umeme nje maalum kwa Mikoa ya Kaskazini
View attachment 3264882View attachment 3264881
Bado maelezo hayajawa wazi!
Tanzania inanunua umeme kutoka Ethiopia kupitia Kenya.
Hapohapo ina mpango wa kuziuzia Kenya na Uganda umeme toka Rufiji.
Yaani umeme wa kutoka Rufiji utaenda Kenya kupitia kanda ya Kaskazini inayonunuliwa umeme toka Ethiopia. Bado sijaelewa hapa lazima yatolewe maelezo na ufafanuzi zaidi.
 
Labda umeme umekuwa nyaya za simu shirika la TTCL
 
Kuna Nyumba Ya Mungu, kuna Hale na Kuna Pangani, yote yako kanda ya kaskazini..... Ufafanuzi umekua mzuri sana. Kongole kwa Mfafanuzi
Pia kiwanda cha sukari cha tpc kinazalisha umeme mwingi tu ila urasimu ni mkubwa sana wa TANESCO .

Dili zimeanza .

Yaani umeme utoke Ethiopia mpaka Tanzania uwe bei Rahisi kuliko unaotoka Rufiji

Huyu Mzanzibari ni hatri sana .
Ndio maana amehamishia kampeni zake kwa masingle maza vitenge vyake .

Bahati mbaya hatuna tena waandishi wa habari wenye ujazo ule wa Akina Jenerali Ulimwengu.

CCM ni ile ile .

Kama kuna chama kinategemea uchaguzi kwenye ufisadi wa watu wasio hata na hofu ni hatari sana
 
Hata kichaa hawezi kukubali kuwa eti umeme wetu wenyewe utaendelea kuwa ghali kuliko wa Ethiopia.!!!

Jamani wale wapinzani wanaotumia muda mwingi kumtukana Magufuli sasa inabidi tu wamsamehe bure maana huu ushetani asingukubali pamoja na udhaifu wake mwingine kama binadamu.
RIP JPM
ni wakati sasa wa kusambaza hotuba zake za kizalendo.

Mama atashinda kwa mbinu zote ile ndio mwisho wa CCM na atakosa hata wa kumwachia kiti akakubalika
 
Naam kama kawa kama dawa, Wazee WA UFAFANUZI wameshatoa UFAFANUZI kuwa umbali wa kutoka Ethiopia Hadi Same ni mfupi kuliko Mwalimu Nyerere Hydro Power pale Rufiji Hadi Same

Soma Pia: Rais Samia: Serikali itanunua Umeme nje maalum kwa Mikoa ya Kaskazini
View attachment 3264882View attachment 3264881
Do ufafanuzi, umeingia doa baada ya mfafanuzi kutoenda sawa na mdundo wa ufafanuzi.

Kati ya vitu leo ccm mmefanya makosa makubwa kwa mgombea wenu , ni hili jambo ,ila hii yote Mungu anazidi waonesha kwa ye ndie alpha na omega
 
Back
Top Bottom