Serikali yaunda Kamati kuchunguza chanzo cha moto Soko Kuu Kariakoo. Waziri Mkuu asema hatua zitachukuliwa moja kwa moja ikijulikana kuna mkono wa mtu

Serikali yaunda Kamati kuchunguza chanzo cha moto Soko Kuu Kariakoo. Waziri Mkuu asema hatua zitachukuliwa moja kwa moja ikijulikana kuna mkono wa mtu

Kwa mfano hapo unamwangushaje?!
Ebu tolea ufafanuzi.




7.-(1) Kutakuwa na Baraza la Usimamizi wa Maafa Tanzania.
(2) Baraza litaundwa na wajumbe wafuatao-
(a) Katibu Mkuu Wizara yenye dhamana ya
Usimamizi wa maafa ambaye atakuwa
Mwenyekiti;
(b) Katibu Mkuu Wizara yenye dhamana ya ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa ambaye atakuwa Makamu wa Mwenyekiti;
(c) Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali;
(d) Katibu Mkuu Wizara yenye dhamana ya mamlaka na tawala za mikoa na serikali za mitaa;
(e) Katibu Mkuu Wizara yenye dhamana na fedha;
(f) Katibu Mkuu Wizara yenye dhamana na afya na ustawi wa jamii;
(g) Katibu Mkuu Wizara yenye dhamana na
mawasiliano;
(h) Katibu Mkuu Wizara yenye dhamana na
mazingira;
(i) Katibu Mkuu Wizara yenye dhamana na
Kilimo; na
(j) Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Hali ya
 
hili ndio tatizo la kuweka viongozi ktk nafasi kwa muda mrefu bila mabadiliko, yaani wanakaa weee ktk uongozi mpaka wanazoea wakidhani wanaongoza kampuni yao.

Matokeo yake inawezekana kabisa kupanga hujuma.
 
tunaishauri serikali iwe inafanya mabadiliko ya viongozi mara kwa mara ktk taasisi za serikali.
mfano bodi za mashirika mbalimbali n.k
 
Mama asipo kaza haki ya Mungu watamzingua sana,hii nchi ya watu vichwa ngumu bila kuwashtuashtua kidogo awawezi elewa somo hata kidogo.
 
Tulitakiwa twende na mwendo wa mateka hadi miaka 10 ingeisha tungekuwa tumenyooka kama rula.

Hata hivyo bado inawezekana chini ya Mama yetu, tunacho taka mawaziri wote na wakuu wa vyombo vyote wasichekee nyani yeyote.
lazima nidhamu iwepo kama kuna baadhi wanataka kukwamisha jahazi washughulikiwe ipasavyo, tupunguze maneno mengi.
 
Mmeanza bvijana chapeni kazi acheni majungu yasiyo na pua wala mdomo. Wamhujumu kwa lipi labda hebu fafabua!
 
Mawaziri, manaibu, makatibu tawala, wakurugenzi, wakuu wa mikoa, wilaya, wabunge, madiwani, wenyeviti wa mitaa, wajumbe wa bodi mbalimbali, vyombo vyote vya ulinzi na uslama na wengine wote endapo kwa pamoja watafanya kazi kwa weledi na kwa kujituma hakutokuwa na harufa ya hujuma wala ndugu yake na hujuma.

viongozi lazima wachukue hatu, tunataka kuona viongozi wanafuatilia mambo kwa karibu bila kuchoka sio wanajionyesha tu kwenye TV halafu hakuna cha maana wanacho kifanya.tunataka kuona matokeo.

Mfano Tamisemi ni wizara kubwa sana na ina manaibu waziri zaidi ya 1 hivyo tunataka kuona wapo field muda wote, kuna changamoto kibao zinawahusu Tamisemi hivyo wanapaswa wawe na spidi ya ufuatiliaji.
 
Jumba lile la kariakoo ni la gorofa, serikali inapeleka gari la zima moto la kuzimia nyumba za walala hoi kwenda kuzima jumba la gorofa,hivi hamuoni ? Ni kweli mna macho hamuoni na mna masikio hamsikii ,yaani hata katuni inaonyesha gari za zima moto zina ngazi kwa ajili ya kuzima moto kwenye magorofa ,sasa kama kule juu kungekuwa na watu na moto unawaka kati mngefanyaje ,Serikali ya CCM jiongezeni Nchi sasa ina magorofa.

Kama haitoshi viongozi wakuu wa nchi kibao wamefika nafikiri kuona au kuangalia moto lakini sio katika juhudi za kuuzima ,kasoro Raisi tu ndio hakufika labda alikuwa mbali au na dharura.

Maneno na maelezo kibao,kuna mwananchi kasema hapahitaji siku saba siku tatu tu ,wangejua kilichopo,ametokeza kwenye Globo TV,Waziri nae amekuja na sera za kujenga soko jipya,watu wamepoteza mali unawambia tutawajengea soko jipya sijui tutaweka fire extinguisher na kuchimba visima, hivi mle sokoni hamna hizo kariakoo nzima hamna visima vya water lines interception, CCM bana mnaboa ile mbaya.

Sasa mmeunda Tume kuchunguza,ngoja tusubiri watakaotolewa kafara!
 
Jumba lile la kariakoo ni la gorofa, serikali inapeleka gari la zima moto la kuzimia nyumba za walala hoi kwenda kuzima jumba la gorofa,hivi hamuoni ? Ni kweli mna macho hamuoni na mna masikio hamsikii....
Ona walivyokuja mBio mBio utafikiri they really care, these politicians are worse than criminals. Walituambia Magufuli yuko mzima kumbe ameisha kufa, mgonjwa wa moyo, alifikaje kwa mzena kama vifaa viko Muhimbili.

Na sisi ni mbumbu yote tumesahau, wao sasa wanachekelea tu. Na hawa viongozi wa dini ingebidi wawapige marufuku wanasiasa kwenda yumba za kuabudu. Inaonyesha kuwa maovu wanayotufanyia basi hata mungu anayakubali.
 
Hivi lile deal zimamoto lilifia wapi ?? Tril 2 ushee deal wapi CPbAndy abaelezee
 
Hivi lile deal zimamoto lilifia wapi ?? Tril 2 ushee deal wapi CPbAndy abaelezee
 
Habari wakuu,

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla akiwa Soko Kuu la Kariakoo, amesema serikali imeunda tume ya watu kumi kuchunguza na kupata ukweli wa chanzo cha moto na athari zilizopatikana ikiwemo mali zilizoteketea, pia amesema Waziri mkuu yuko njiani kuja kukagua na kuongea na wafanyabiashara na umma kwa ujumla...
 
Hivi lile deal zimamoto lilifia wapi ?? Tril 2 ushee deal wapi CPbAndy abaelezee
Wazee walikula hapo, was a shame. No report. Same as mchanga wa madini - hata Magufuli alishindwa, angeweka ndani wangapi? Too many,
 
Back
Top Bottom