Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,534
- 7,866
Tukikuita hapa centro unaweza kuja kuthibitisha uliyoandika hapa?
Uniite ili iwe, umesoma vyema mada. Hebu kuwa na akili basi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tukikuita hapa centro unaweza kuja kuthibitisha uliyoandika hapa?
Tuje kukuminya pumbu kidogo utupe ushahidi wa uliyoyaandika.Uniite ili iwe, umesoma vyema mada. Hebu kuwa na akili basi
😀😀😀😀Tuje kukuminya pumbu kidogo utupe ushahidi wa uliyoyaandika.
Ile pasi ya umeme iliounguza chumba cha ikulu kwa mkapa mlimminya nani? Na yule mkuu wa mkoa alie choma ofisi yake dodoma mlimminya?Tuje kukuminya pumbu kidogo utupe ushahidi wa uliyoyaandika.
Mkome kabisa mpumbavu. Hebu hangaikeni na hali zenu. Ameenda amewaacha mfanye mtakayo. Miezi minne tu mnaanza kuhaha!Tatizo lilianzia kwa meko
NdioHahahaaaa.. Ukiwemo kwenye kamati kila siku 500,000/= utakataa bwashee?
Ona walivyokuja mBio mBio utafikiri they really care, these politicians are worse than criminals. Walituambia Magufuli yuko mzima kumbe ameisha kufa, mgonjwa wa moyo, alifikaje kwa mzena kama vifaa viko Muhimbili.Jumba lile la kariakoo ni la gorofa, serikali inapeleka gari la zima moto la kuzimia nyumba za walala hoi kwenda kuzima jumba la gorofa,hivi hamuoni ? Ni kweli mna macho hamuoni na mna masikio hamsikii....
Habari wakuu,
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla akiwa Soko Kuu la Kariakoo, amesema serikali imeunda tume ya watu kumi kuchunguza na kupata ukweli wa chanzo cha moto na athari zilizopatikana ikiwemo mali zilizoteketea, pia amesema Waziri mkuu yuko njiani kuja kukagua na kuongea na wafanyabiashara na umma kwa ujumla...
Wazee walikula hapo, was a shame. No report. Same as mchanga wa madini - hata Magufuli alishindwa, angeweka ndani wangapi? Too many,Hivi lile deal zimamoto lilifia wapi ?? Tril 2 ushee deal wapi CPbAndy abaelezee