Katika hali isiyo ya kawaida wawakilishi wa Serikali katika msiba wa Ally Mohammed Kibao uliofanyika jijini Tanga wamekumbana na zomea zomea wakati wakitoa hotuba zao.
Zomea zomea hiyo ilianzia kwa mkuu wa mkoa wa Tanga, Batilda Buriani baada ya kusema kifo cha Ally kimewahuzunisha kama Serikali.
Your browser is not able to display this video.
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Batilda Buriani akitoa hotuba kwa niaba ya Serikali kwenye msiba wa Ally Mohammed Kibao
Waombolezaji walianza kupiga kelele baada ya Batilda kutaka waombolezaji waachie vyombo vya dola vije na majibu ya nani aliyehusika kwenye mauaji hayo. Batilda alitoa mfano wa kisa cha ng'ombe kilichopo kwenye sura ya Al Baqara kinachoelezea mtu aliyefariki mpaka kupatikana mhusika akisema kinafundisha ikitokea huzuni kama iliyoyotokea watu wasiwe wa kwanza kunyoosha vidole na kuacha vyombo vifanye kazi kama Rais alivyoelekeza. Wananchi walizidisha zomeazomea.
Hali ilikuwa mbaya zaidi Waziri Masauni alipopokea kipaza sauti na waombolezaji walizidisha sauti ya kumtaka waziri Masauni ajiuzulu kiasi cha kushindwa kuendelea na dua yake mpaka aliposaidiwa na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kutuliza hali kisha kumalizia hotuba yake.
Katika hali isiyo ya kawaida wawakilishi wa Serikali katika msiba wa Ally Mohammed Kibao wamezomewa wakati wakitoa hotuba zao.
Zomea zomea hiyo ilianzia kwa mkuu wa mkoa wa Tanga, Batilda Buriani baada ya kutaka waombolezaji waachie vyombo vya dola vije na majibu ya nani aliyehusika kwenye mauaji hayo. Wananchi walianza kumzomea wakidai wanawajua wahusika.
Hali ilikuwa mbaya zaidi Waziri Masauni alipopokea kipaza sauti na waombolezaji walizidisha sauti kiasi cha Masauni kushindwa kuendelea na hotuba yake.

Tunakoelekea huyo mama wanayemsifu na kumpamba sana ataanza kuzomewa na yeye.
Ngoma ikibuma mno huishia kuchanika, na "anaupiga mwingi" kavuma ki fix na hadaa sana sasa ngoma inachanika na anaishia kuonekana wa hovyo
Katika hali isiyo ya kawaida wawakilishi wa Serikali katika msiba wa Ally Mohammed Kibao wamekumbana na zomea zomea wakati wakitoa hotuba zao.
Zomea zomea hiyo ilianzia kwa mkuu wa mkoa wa Tanga, Batilda Buriani baada ya kusema kifo cha Ally kimewahuzunisha kama Serikali.
Waombolezaji walianza kupiga kelele baada ya Batilda kutaka waombolezaji waachie vyombo vya dola vije na majibu ya nani aliyehusika kwenye mauaji hayo. Batilda alitoa mfano wa kisa cha ng'ombe kilichopo kwenye sura ya Al Baqara kinachoelezea mtu aliyefariki mpaka kupatikana mhusika akisema kinafunsha ikitokea huzuni kama iliyoyotokea watu wasiwe wa kwanza kunyoosha vidole na kuacha vyombo vifanye kazi kama Rais alivyoelekeza.
Wananchi walizidisha zomeazomea.
Hali ilikuwa mbaya zaidi Waziri Masauni alipopokea kipaza sauti na waombolezaji walizidisha sauti kiasi cha Masauni kushindwa kuendelea na hotuba yake.
nadhani haina umuhimu wala maana yoyote kuzomea au kutozomea..
lile ambalo linatakikana zaidi ni ukweli wa mambo kuhusu tukio lenyewe na wahusika wote kupatikana na kuwajibishwa kwa mujibu wa sheria na kisha haki na stahiki za kamanda Ally Kibao zipatikane..