Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Ujinga vs uchungu, watu wana hasira na ndugu yao unawaita wajinga?Watu wanaozomea wamejazwa ujinga umewajaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujinga vs uchungu, watu wana hasira na ndugu yao unawaita wajinga?Watu wanaozomea wamejazwa ujinga umewajaa.
Mwenye ujinga tu ndiye asiyependa kusikiliza.Ujinga vs uchungu, watu wana hasira na ndugu yao unawaita wajinga?
Sorry kukwambia kwenye msiba kuna suala moja tu. Uchungu, uchungu huibua hasira, si ujinga ni natural human responseMwenye ujinga tu ndiye asiyependa kusikiliza.
Wewe unadanganyywa na unadanganyika kirahisi sana.
Nyie ndiyo mnaojazana kwa mwamposa na kiboko ya wachawi.
Wajinga ndiyo waliwao.
Serikali inahitaji kwenda msibani ili iseme jambo isikilizwe?Mwenye ujinga tu ndiye asiyependa kusikiliza.
Sasa watamuachia nani maana Chadema wanataka Serikali ilete maji hao waombolezaji hawataki Sasa watapata wapi uhakika wa kilichotokea?
Sasa mnawazomea huo ufafanusi watolee kwenye vyombo vya habari na wasishieiki msiba au?Lazima wakatie ufafanuzi wao msibani? Ikumbukwe ni jukumu lao kulinda raia na mali zao. Ni wajibu wao kutoa majibu ya Nini kimetokea na akina nani wamehusika iwe wamezomewa au hawajazomewa, Kwa ufupi hata wananchi wakisema hatutaki kuambiwa chochote, serikali inatakiwa kufanya kazi Yao.
Kwahiyo kelele zimevuruga utaratibu wa kupeleleza wahusika wa hili tukio?
Sasa mnawazomea huo ufafanusi watolee kwenye vyombo vya habari na wasishieiki msiba au?
Ikumbukwe hakuna Serikali hapa Duniani Huwa haikumbwi na kashfa za mambo haya ya utekaji na mauaji so hata wangekuwa Machadema mambo ni Yale Yale.
Ndio maana Huwa Sina huruma na Wanasiasa wote ni matapeli na washenzi so mtajuana huko huko.
Andika wafuasi wa chadema na wengine wamevaa mpaka tisheti zenye nyekundu na blueKatika hali isiyo ya kawaida wawakilishi wa Serikali katika msiba wa Ally Mohammed Kibao uliofanyika jijini Tanga wamekumbana na zomea zomea wakati wakitoa hotuba zao.
Zomea zomea hiyo ilianzia kwa mkuu wa mkoa wa Tanga, Batilda Buriani baada ya kusema kifo cha Ally kimewahuzunisha kama Serikali.
View attachment 3091423
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Batilda Buriani akitoa hotuba kwa niaba ya Serikali kwenye msiba wa Ally Mohammed Kibao
Waombolezaji walianza kupiga kelele baada ya Batilda kutaka waombolezaji waachie vyombo vya dola vije na majibu ya nani aliyehusika kwenye mauaji hayo. Batilda alitoa mfano wa kisa cha ng'ombe kilichopo kwenye sura ya Al Baqara kinachoelezea mtu aliyefariki mpaka kupatikana mhusika akisema kinafundisha ikitokea huzuni kama iliyoyotokea watu wasiwe wa kwanza kunyoosha vidole na kuacha vyombo vifanye kazi kama Rais alivyoelekeza. Wananchi walizidisha zomeazomea.
Hali ilikuwa mbaya zaidi Waziri Masauni alipopokea kipaza sauti na waombolezaji walizidisha sauti ya kumtaka waziri Masauni ajiuzulu kiasi cha kushindwa kuendelea na dua yake mpaka aliposaidiwa na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kutuliza hali kisha kumalizia hotuba yake.
Pia, soma=> Tafrani yazuka msibani Tanga: Waombolezaji wakataa dua ya Waziri Masauni wakimtaka ajiuzulu
Heading yako umemaliza yote.Katika hali isiyo ya kawaida wawakilishi wa Serikali katika msiba wa Ally Mohammed Kibao uliofanyika jijini Tanga wamekumbana na zomea zomea wakati wakitoa hotuba zao.
Zomea zomea hiyo ilianzia kwa mkuu wa mkoa wa Tanga, Batilda Buriani baada ya kusema kifo cha Ally kimewahuzunisha kama Serikali.
View attachment 3091423
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Batilda Buriani akitoa hotuba kwa niaba ya Serikali kwenye msiba wa Ally Mohammed Kibao
Waombolezaji walianza kupiga kelele baada ya Batilda kutaka waombolezaji waachie vyombo vya dola vije na majibu ya nani aliyehusika kwenye mauaji hayo. Batilda alitoa mfano wa kisa cha ng'ombe kilichopo kwenye sura ya Al Baqara kinachoelezea mtu aliyefariki mpaka kupatikana mhusika akisema kinafundisha ikitokea huzuni kama iliyoyotokea watu wasiwe wa kwanza kunyoosha vidole na kuacha vyombo vifanye kazi kama Rais alivyoelekeza. Wananchi walizidisha zomeazomea.
Hali ilikuwa mbaya zaidi Waziri Masauni alipopokea kipaza sauti na waombolezaji walizidisha sauti ya kumtaka waziri Masauni ajiuzulu kiasi cha kushindwa kuendelea na dua yake mpaka aliposaidiwa na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kutuliza hali kisha kumalizia hotuba yake.
Pia, soma=> Tafrani yazuka msibani Tanga: Waombolezaji wakataa dua ya Waziri Masauni wakimtaka ajiuzulu
Safi vijana wq ki-Tanga mmeonesha njia, ni mwendo wa zomea zomea.Katika hali isiyo ya kawaida wawakilishi wa Serikali katika msiba wa Ally Mohammed Kibao uliofanyika jijini Tanga wamekumbana na zomea zomea wakati wakitoa hotuba zao.
Zomea zomea hiyo ilianzia kwa mkuu wa mkoa wa Tanga, Batilda Buriani baada ya kusema kifo cha Ally kimewahuzunisha kama Serikali.
View attachment 3091423
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Batilda Buriani akitoa hotuba kwa niaba ya Serikali kwenye msiba wa Ally Mohammed Kibao
Waombolezaji walianza kupiga kelele baada ya Batilda kutaka waombolezaji waachie vyombo vya dola vije na majibu ya nani aliyehusika kwenye mauaji hayo. Batilda alitoa mfano wa kisa cha ng'ombe kilichopo kwenye sura ya Al Baqara kinachoelezea mtu aliyefariki mpaka kupatikana mhusika akisema kinafundisha ikitokea huzuni kama iliyoyotokea watu wasiwe wa kwanza kunyoosha vidole na kuacha vyombo vifanye kazi kama Rais alivyoelekeza. Wananchi walizidisha zomeazomea.
Hali ilikuwa mbaya zaidi Waziri Masauni alipopokea kipaza sauti na waombolezaji walizidisha sauti ya kumtaka waziri Masauni ajiuzulu kiasi cha kushindwa kuendelea na dua yake mpaka aliposaidiwa na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kutuliza hali kisha kumalizia hotuba yake.
Pia, soma=> Tafrani yazuka msibani Tanga: Waombolezaji wakataa dua ya Waziri Masauni wakimtaka ajiuzulu
SERIKALI lazima izomewe sababu watu wengi kutoka UPINZANI wametekwa, baadhi wameuliiwa na wengine wemeteswa na kupata vilema vya maisha na hao wote hakuna uchunguzi uliofanyika.Sasa wanazomea zomea ili iweje?? Mnamhukumu nani??
Dear upo!Mwenye ujinga tu ndiye asiyependa kusikiliza.