Serikali yazomewa msibani baada ya kutaka waombelezaji waachie vyombo vya dola mauaji ya Ally Kibao

Sasa pale pa Masauni mbona umepakata, na zomea zomea kwa Patilda mbona ilikuwa ya chini chini haisikiki?
 
Watu wanaozomea wamejazwa ujinga umewajaa.
 
Watu wanaozomea wamejazwa ujinga umewajaa.
 
Hu
Masauni
Masauni na bi chura wanahusika na hili...mtu anakuua then abakuja kukuzika bila aibu
 
Sasa watamuachia nani maana Chadema wanataka Serikali ilete maji hao waombolezaji hawataki Sasa watapata wapi uhakika wa kilichotokea?
 
Bora angeishia kutoa pole na kwenda zake, kuliko kugusia mambo amabayo tayari yanajulikana na wao wanafanya kupindua ukweli.
 
Ngoja tuone Samia atatoa milioni ngapi za Rambirambi.

Kupozeo cha Sativa kilikuwa 35 Mills aisee Dunia hii...
 
Wameenda kutafuta kitu gani kwenye msiba? Si Hawa Hawa walitaka kuzuia watu wasishuhudie postmortem hospital?
Wewe unadanganyywa na unadanganyika kirahisi sana.

Nyie ndiyo mnaojazana kwa mwamposa na kiboko ya wachawi.

Wajinga ndiyo waliwao.
 
Sasa wanazomea zomea ili iweje?? Mnamhukumu nani??
Kwani mwenye mamlaka n nini??

Si huyo Waziri wa mambo ya ndani ikiwemo hili??

Kama anaona kiatu ni kikubwa si ajiuzuru aje mwingine atakayeweza kupambana na hawa watekaji ambao mara nyingi wamejitambulisha kama Polisi.
 
Kuna karibia kupambazuka! Asanteni sana watu wa tanga.
 
Haya majitu ni mauaji tu, hayaaminiki.
 
Hapo usije tegemea Kuna jpya ,,kama alichukuliwa na jeshi la polis alaf wanasema mweny ushaid apeleke polis ,!!! Sio dharau hizo ?? Bora polis wakae kimya kulko kufanya kejeli ,,,ushaid upi wanataka wakat wao ndo walismamisha bas na kutoka naye? Waende kweny bas huska waulize dereva na kondokta wake kuhusu ilo basi , lakin sku wananchi wakichoka sana,,, sijui itakuaje
 
Ningekuepo msibani ningekua wa kwanza kuwatupia mawe;
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…