Serikali yazomewa msibani baada ya kutaka waombelezaji waachie vyombo vya dola mauaji ya Ally Kibao

Mwenye ujinga tu ndiye asiyependa kusikiliza.
Sorry kukwambia kwenye msiba kuna suala moja tu. Uchungu, uchungu huibua hasira, si ujinga ni natural human response
Hakuna excuse this time
 
Wewe unadanganyywa na unadanganyika kirahisi sana.

Nyie ndiyo mnaojazana kwa mwamposa na kiboko ya wachawi.

Wajinga ndiyo waliwao.

Kama wewe ndio hua unanipitia kwenda Kwa Mwamposa, sina neno, vinginevyo nitake radhi. Hizo ni tuhuma nzito sana kwangu. Naomba, uthibitishe uendaji wangu Kwa Mwamposa na Kiboko ya wachawi.

Na huo mstari wa mwisho unamaanisha Mimi ni mjinga ama?
 
Sasa watamuachia nani maana Chadema wanataka Serikali ilete maji hao waombolezaji hawataki Sasa watapata wapi uhakika wa kilichotokea?

Lazima wakatoe ufafanuzi wao msibani? Ikumbukwe ni jukumu lao kulinda raia na mali zao. Ni wajibu wao kutoa majibu ya nini kimetokea na akina nani wamehusika iwe wamezomewa au hawajazomewa, kwa ufupi hata wananchi wakisema hatutaki kuambiwa chochote, serikali inatakiwa kufanya kazi yake.

Kwahiyo kelele zimevuruga mwenendo wa upelelezi wa waliohusika na hili tukio?
 
Sasa mnawazomea huo ufafanusi watolee kwenye vyombo vya habari na wasishieiki msiba au?

Ikumbukwe hakuna Serikali hapa Duniani Huwa haikumbwi na kashfa za mambo haya ya utekaji na mauaji so hata wangekuwa Machadema mambo ni Yale Yale.

Ndio maana Huwa Sina huruma na Wanasiasa wote ni matapeli na washenzi so mtajuana huko huko.
 

Na ndio maana tokea awali nilisema uchunguzi ufanyike, wahusika wachukuliwe hatua Kali bila kujali wanatoka Chama gani.

Kwa kukuweka sawa, mimi sio mwana siasa wala mwana chama wa chama chochote cha siasa.

Waziri, Polisi, Serikali wanaweza kuita vyombo vya habari wakati wowote wakatoa taarifa Kwa umma. Kulazimisha kutoa taarifa msibani imeishia kuwa fedheha.

Nashangaa Kwa watu wenye weledi wanashindwaje kujua kwamba Kuna wachache hua wanapenda kutembea na matukio kutimiza ajenda zao.

Naamini wahusika au ndugu wa karibu wa marehem hawakua sehem ya wazomeaji.
 
Andika wafuasi wa chadema na wengine wamevaa mpaka tisheti zenye nyekundu na blue
 
Heading yako umemaliza yote.

Tuforward Cienieni na Bibici
 
Safi vijana wq ki-Tanga mmeonesha njia, ni mwendo wa zomea zomea.
 
Sasa wanazomea zomea ili iweje?? Mnamhukumu nani??
SERIKALI lazima izomewe sababu watu wengi kutoka UPINZANI wametekwa, baadhi wameuliiwa na wengine wemeteswa na kupata vilema vya maisha na hao wote hakuna uchunguzi uliofanyika.

TUNATAKA TIMU HURU YA UCHUNGUZI ILIYOBOBEA KWENYE MAMBO YA UCHUNGUZI KUTOKA NJE YA TANZANIA.

God Bless Tanganyika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…