Unaiba , kumbe hiyo pesa ilikua inunue kifaa cha hospital, anakuja mgonjwa anakosa hudumu anapoteza maisha , ndani ya hiyo fani ya wizi tayari ushakua muuaji pia.Wizi ni mzuri Mzee wangu
lakini pale mchongo unapofeli ndio utaona Dunia imekutenga.
Hasa wahasibu wanakula mpaka Hela za staff wenzaoYaani umeongea ukweli. Wafanyakazi wengi ambao siyo waalimu ni mafisadi 100%. Waalimu wote kuanzia shule ya msingi mpaka chuo hawana vya kuiba.
Na wasio na kazi waibe wapi?Wizi ni hulka ya mtu na mazoea mabaya ya tabia za wizi.Piga hesabu mwenyewe mshahara laki Saba
Una watoto na wanabidi kusoma kula na kuvaa
Wewe mwenyewe
Je usipojiongeza inakuaje.?
Acha bar, hiyo Laki 6 umemaliza peke yako, bado matumiz ya mke, katoto na wazee 😂😂😥😥Haya sasa hapo hujaenda bar utabaki na nini?
hiyo ni fursaBila wizi hii mishahara tusingeweza kufanya jambo lolote
Ndo maana walimu wanalia Sana ni kwa sababu hawana sehemu ya kuokota .
Hakuna MTU ambaye haibi wala kupiga dili .
Kila mtu dunia hii ni mwizi wewe unabishana na duniaWorld au tanzania ?
Wezi wote wanaonaga kila mtu ni mwizi😁Kila mtu dunia hii ni mwizi wewe unabishana na dunia
World au tanzania ?
Mkuu vifaaa vya hospital hapo hapana.Unaiba , kumbe hiyo pesa ilikua inunue kifaa cha hospital, anakuja mgonjwa anakosa hudumu anapoteza maisha , ndani ya hiyo fani ya wizi tayari ushakua muuaji pia.
Si umeona wajinga wajinga wote kila mmoja anapambana kumwachia mwanae kijiti aendelee kuwala Watanganyika wajinga.Tatizo kubwa ni kuwa nchi inazidi kudidimia hivyo hata hicho kidogo baadaye kitakuwa hakipo...Kama watu wangekubali kusaidia wenye uwezo na upeo kushika nafasi takiwa, wala kusingekuwa na shida ya kuiba maana ni rahisi mno kurekebisha uchumi wa Tanzania na kuongeza vipato kwa haraka...Tatizo wengi walioko huko uwezo wao ni mdogo kwakua hawajawa well trained na wengi wao hawana exposure
Huu ndio utoto. Ilikuwa na haja gani ya kutuambia sisi tulio nje ya mfumo.
Mshahara wa serikali Kama usipokuwa na akili ya kujiongeza utakwama Sana .
Kuna Fursa (ya kufanya wizi) na Tabia (ya wizi). Kama hauna tabia ya wizi na ukakutana na fursa ya kufanya wizi; hakika HAUTAIBA, na kinyume chake ni sahihi. Kwa hiyo wapo watumishi wanaokomaa na kipato hicho (japo kidogo) hadi kustaafu. Nimewashuhudia, nimeishi nao na bado tupo!!!Bila wizi hii mishahara tusingeweza kufanya jambo lolote
Ndo maana walimu wanalia Sana ni kwa sababu hawana sehemu ya kuokota .
Hakuna MTU ambaye haibi wala kupiga dili .