Serikalini watu tunaishi kwa kuiba; huu ndo ukweli

Hakika, na ukitaka utibiwe vizuri hospital za serikali hasa zahanati mpe kidogo daktari uone anavyokutibu huku akitoa tabasamu muda, hii nchi ngumu acha tuishi humo humo.
 
Acha wizi mkuu ,sio kila mtu anaiba bwashee.
Wanasema kitengo chake kina fursa kuliko cha x,sasa kama watu wanajua ni nani wewe usiamini kuwa nchi hii ni ya michakato,just said,Hii DP world na nishati lazima February ana percentage yake,unaona hizo case za trillion 3.1 zimetoka.wapi
 
Tanzania bila wizi inawezekana , nyie ndio mnafuga na kuwapa sapoti wezi kwa kuwafariji.
 
You seem to lack comprehension skills na ni mwalimu. Sijui unaowafundisha kama wanakuelewa. Mwenye uzi kaeleza hapo walimu hamna sehemu ya kupiga.
Wewe ndo huna comprehension skills hata robo,michango ya taaluma , capitation,michango ya chakula ya watoto wanachochanga,siwezi kupiga!?
Think from simple to complex
 
Wewe ndo huna comprehension skills hata robo,michango ya taaluma , capitation,michango ya chakula ya watoto wanachochanga,siwezi kupiga!?
Think from simple to complex
Sasa hapo ni walimu wangapi shuleni wana access na hiyo michango? Na hata wenye access nayo, bado hawawezi kupiga hela ya maana. Bado hoja yake iko valid.
 
Kwahiyo na nyie mnaiba? Hueleweki kama unakubaliana na mleta uzi au unapinga. You must be as smart as a brick wall, dummy.
Wanaiba na kutetea wizi kwa nguvu zote ukiwakuta makanisani kama sio wao yani😁😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…