shamimuodd
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,188
- 2,113
Hahahaha wahasibu wengi ndiyoHasa wahasibu wanakula mpaka Hela za staff wenzao
Maana baada ya kuacha kazi nasikia huwa na maisha magumu sana. Halafu serikali ina miongozo lukuki ya kuzuia kuiba