Serious Question: Kati ya Pesa na Nguvu za kiume ni kipi Mwanaume hutakiwi kukikosa kabisa ?

Serious Question: Kati ya Pesa na Nguvu za kiume ni kipi Mwanaume hutakiwi kukikosa kabisa ?

Vijana kama nyie ni wakutia bakora.
20250523_133908.jpg
 
Kosa pesa uone hizo nguvu itakusaidia nini zaidi ya kuitwa majina ya ajabu ajabu.

Amebarikiwa kila kitu ila sasa amejikalisha tu, si akabeba hata zege.. Wee Rama em njoo, kuna mtu anatafuta mtu wa ku katia fensi yake🤔
 
Una pesa nyingi halafu huna nguvu kabisa.

House boy akikuchapia utalalamika ?
 
Alafu uzuri ukiwa na pesa unaridhika haraka, unapewa bj tuu unaridhika.. Ila sasa hawa wa kutumia nguvu ni vitaaaa muraaaa😂😂😂😂
 
Una pesa nyingi halafu huna nguvu kabisa.

House boy akikuchapia utalalamika ?
Ukiwa na pesa utanunua bidhaa, na kama hauna wewe ndiye bidhaa. Ipo kwa jinsia zote.

Wamama wamezeeka na wana pesa na pesa zao zinatumika kuwanunua vijana wadogo ili wakaridhishwe. Vivyo hivyo kwa wazee wanao wahonga mabinti sawa na wajukuu zao.
 
Back
Top Bottom