Serious Question: Kati ya Pesa na Nguvu za kiume ni kipi Mwanaume hutakiwi kukikosa kabisa ?

Kosa pesa uone hizo nguvu itakusaidia nini zaidi ya kuitwa majina ya ajabu ajabu.

Amebarikiwa kila kitu ila sasa amejikalisha tu, si akabeba hata zege.. Wee Rama em njoo, kuna mtu anatafuta mtu wa ku katia fensi yake๐Ÿค”
 
Una pesa nyingi halafu huna nguvu kabisa.

House boy akikuchapia utalalamika ?
 
Unadhani kwanini wenye izo nguvu nawenyewe wanahangaika kupata tiba ya pesa? Apo ni GG๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Tena tajiri ya ananunua ka viksi anapiga show hadi anachoka haya we itafute billion uone kama unaipata kirahisi
 
Alafu uzuri ukiwa na pesa unaridhika haraka, unapewa bj tuu unaridhika.. Ila sasa hawa wa kutumia nguvu ni vitaaaa muraaaa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Una pesa nyingi halafu huna nguvu kabisa.

House boy akikuchapia utalalamika ?
Ukiwa na pesa utanunua bidhaa, na kama hauna wewe ndiye bidhaa. Ipo kwa jinsia zote.

Wamama wamezeeka na wana pesa na pesa zao zinatumika kuwanunua vijana wadogo ili wakaridhishwe. Vivyo hivyo kwa wazee wanao wahonga mabinti sawa na wajukuu zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ