Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 10,644
- 20,009
Si ndioo😁Kumbe?
Sijamaanisha kwangu😂😂😂😂 ni kwa uyo ulienaeHebu ngoja tuone maana mimi tomaso.
Ni DM account number, niweke ngapi$$?
Sio kweli mnawadanganya vijana🤣🤣🤣Awe na nguvu tu ndiyo muhimu😀
😀😀 bila nguvu tutafurahiaje hizo pesa, bora nguvu pesa tutapambana taratibu hata ya kula isitushindeSio kweli mnawadanganya vijana🤣🤣🤣
Dah pesa ni tamu wewe , na ukiwa bize kuisaka hata hizo nguvu zinapotea automatic tu😅😀😀 bila nguvu tutafurahiaje hizo pesa, bora nguvu pesa tutapambana taratibu hata ya kula isitushinde
Kuna watu wanaenjoy exotic sxy... Ndio maana kuna 3some and more.. We kama unataka kumridhisha mwanamke kwa kutumia nguvu pole sana..🤣🤣🤣🤣Ukiwa karibu, dunia inanyamaza, halafu moyo wangu huongea kwa lugha moja tu nimekupenda.
Dawa umekunywa leo? 😂😂Hebu njoo unifundishe basi.
Ukiwa karibu, hata Wi-Fi hupotea... maana moyo wangu huwa connected na wewe tu.❤️
Oh sure, we’re all just having fun online laughing, joking with strangers like it’s one big happy group chat. But your question? Wow. That was personal.Dawa umekunywa leo? 😂😂
Japo maisha siyo kutesa Kila siku ila pesa ndiyo Kila kitu...
Hakiiiiiiiiiiiiika lo. Pesa sabuni ya rohoJapo maisha siyo kutesa Kila siku ila pesa ndiyo Kila kitu...
Naenda kukufungulia kesi mbiliUtajua wanazitumiaje😂