Serious..serious..!natafuta mke mtarajiwa!

Serious..serious..!natafuta mke mtarajiwa!

Nimetumwa niwaambie kuwa mnaotafuta wachumba wote mbandike picha zenu, vyeti vyenu vya kuzaliwa na matokeo yako ya kipimo kikubwa.
jamanii ndo umeanza kunyanyapaa mapema kiasi iki?:sad:
 
kwa taarifa yako,Kaskazini ndo kuna wenye akili na watafutaji sasa wewe unawaondoaje?
 
Asante kwa kunielewa........! Mimi nilifakiwa tupo second phase....''intelijensia'' kama unanisoma......!

XOXOQY .....utapata tu hapa....ila jiangalie wengine mafrustration yamezidi, wamechanganyikiwa baadala ya kukupa CV yake, anakupa CV ya jamaa aliyemfrustrate, halafu baadae anastuka keshachemka.....just be tolerant!

Taluma i do wonder these people i hv told 'em am that serious bt thy dont take it,ila nmesha fahamu tatzo wengi si wa kule nliko kukataa so they just show m what they got!
 
:laugh::laugh::laugh:Shsssss!!! Usinisemee basi, halafu mwenye thread sijui kaenda wapi naona yuko hapo chini anachungulia tu

bora kuchungulia nina hasira na nyinyi hasa huyu anaye jiita Lizzy
 
Mie nina sifa hizo zote utakazo wewe. Lakini natoka kaskazini sasa itakuwaje mtu wangu.
 
hili sredi linaendelea bado? ankal na lizzy acheni kuchakachua ma sredi ya watu bana
 
Thread imekaa ki-PM zaidi maana mwenyewe huhitaji ata-PM jamaa halafu sisi hapa tunaendelea kucheza bao
halaf tumeifanyia bonge la favour, huwezi kuamini inatambaa na page ya 18 mida hii. jamaa lazima atasifiwa kijijini kwao kaanzisha sredi JF na imefika page karibu ya 20
 
halaf tumeifanyia bonge la favour, huwezi kuamini inatambaa na page ya 18 mida hii. jamaa lazima atasifiwa kijijini kwao kaanzisha sredi JF na imefika page karibu ya 20
Hahaha!!! Ankal kijijini wanasubiri outcome ya hili sredi
 
Back
Top Bottom