Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Mbaya zaidi yeye anamiliki kampuni wakati wewe upo lumumba unakata kiuno.Huyu Seth tumecheza naye chandimu pale Chama garage alikuwa boya tu
Lakini leo ndio msumbufu wa watawala
Nchi ngumu
cc: Kinyungu, Daudi Mchambuzi